Hivi kwanini bia huwa hazigandi?

Hivi kwanini bia huwa hazigandi?

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
4,433
Reaction score
1,772
Soda ikikaa sana kwenye freezer inaganda. Lakini bia hata ikae siku ngapi kwenye freezer bado iko vilevile
 
chukua ribiya muraa ritumbukuze kwenye rifriji kwenye kale kachumba kakurigandisha harafu rete majibu....
muraaa utafiti kwanza kichuri badae
 
Hizi pombe za asubuhi asubuhi zina shida..
 
Hii Ni physics au siasa. Mijadala kama hii ina tija gani wakuu kwa ukuzi wa jamii yetu, au ni kutafuta umaarufu wa kuongea jamvini!
 
Hii Ni physics au siasa. Mijadala kama hii ina tija gani wakuu kwa ukuzi wa jamii yetu, au ni kutafuta umaarufu wa kuongea jamvini!

Kwahiyo kila kinachokuja JF kiwe siasa?
 
Back
Top Bottom