SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,953
- 2,044
Kwahiyo kila kinachokuja JF kiwe siasa?
kwel mkuu sio kila saa iwe siasa tu
Kwahiyo kila kinachokuja JF kiwe siasa?
nilishawahi kuweka kiroba kwenye friji kikaganda
Haya sasa mapya muraaKinyaji chochote kikiwekwa kwenye fridge na kikakaa kwa muda bila kutingishwa hakiwez kuganda lakini pindi utakapokitingisha tu huganda mda huohuo.
Soda ikikaa sana kwenye freezer inaganda. Lakini bia hata ikae siku ngapi kwenye freezer bado iko vilevile
Haya sasa mapya muraa
Acha uwongoKinyaji chochote kikiwekwa kwenye fridge na kikakaa kwa muda bila kutingishwa hakiwez kuganda lakini pindi utakapokitingisha tu huganda mda huohuo.
Igande ili iweje? Imekua ice cream? Weka mzigo upate ubaridi kisha fungua koromeo.
kwa sababu wewe hujui chochote unaona mijadala kama hii haifai. Je unajua kipi huanza kuganda kati ya bia, soda ma maji ya kawaida? Je unajua kwamba maziwa ya moto huganda/hupoa haraka zaidi kuliko maji ya moto?Hii Ni physics au siasa. Mijadala kama hii ina tija gani wakuu kwa ukuzi wa jamii yetu, au ni kutafuta umaarufu wa kuongea jamvini!
dah mada nyingine sio nzuri kutuma siku za kazi, ona ushanipa kiu nafunga ofisi naenda kutafuta kesto laiti bariiid
''dongo'',asante kwa kula udongo.
unafanya kazi gani?