Waliupataje huo utajiri wkt ni waoga?Exposure yako imekusaidiaje ukijilinganisha kwa mfano na wakina felix Mrema mwenye Impala hotel,Naura Spring,Ngurdoto na ambae hana exposure mkuu?Mkuu kweli kabisa. Zaid ya ile Milan cable, hakuna. Ila Mkuu unajua matajiri wa Arusha ni waoga Halafu hawana "exposure" sina Hakika na spellings- I stand to be corrected
Felix Mrema ndo hizo hotel?? We vipi?? Felix alikua mbunge. Hujui unenalo. Hawapendi biashara Pasua kichwa, walipata hela kibahati na biashara zao ni za kukariri. Fanya research Meleo Mrema mwenye Impala, Naura na Ngurdoto alipataje utajiri. Wahindi wa Arusha matajiri na kwenyewe utajiri wao wameurithi Kwa babu na baba zaoWaliupataje huo utajiri wkt ni waoga?Exposure yako imekusaidiaje ukijilinganisha kwa mfano na wakina felix Mrema mwenye Impala hotel,Naura Spring,Ngurdoto na ambae hana exposure mkuu?
Hahah sasa unabisha kwamba sio za Mrema au?Nimekuuliza wewe mwenye exposure na ambae sio Muoga unawazidi nini matajiri wa Arusha?Felix Mrema ndo hizo hotel?? We vipi?? Felix alikua mbunge. Hujui unenalo. Hawapendi biashara Pasua kichwa, walipata hela kibahati na biashara zao ni za kukariri. Fanya research Meleo Mrema mwenye Impala, Naura na Ngurdoto alipataje utajiri. Wahindi wa Arusha matajiri na kwenyewe utajiri wao wameurithi Kwa babu na baba zao
Yaaa it's true watu wachangamkie itasaidia kuipaisha ArushaaHabari za saa hizi wadau, natumaini mko poa ..
Niende moja kwa moja kwenye mada, ni hivi Jiji LA Arusha ni jiji ambalo lina uzuri wake kuanzia mandhari mpaka tourism gateway.. Sasa kitu kinacho nihuzunisha zaidi ni kutokuwa na TV station hata moja.....
Kichwani najawa na maswali mengi labda wafanyabiashara hawajaona hyo fursa bado, ama wamiliki wa radio stations kama vile triple A FM,Safina radio, radio five just to mention few wameshindwa Ku afford costs za kujenga na kurusha matangazo ya TV??
Kuna vitu vingi sana vinafanyika Arusha lakini vinakosa coverage coz TV stations za mikoani hazirushi hzo events...
Pia ningependa kujua gharama za kujenga TV station ya kisasa na kurusha matangazo...
Karibuni kuchangia
Asanteni.
Ndio nabisha sio za Felix Mrema. Mimi sio tajiri, ila nitakua tu na nitakua na uwezo wa kufanya exposure na nitakua tajiri wa kisasa.Hahah sasa unabisha kwamba sio za Mrema au?Nimekuuliza wewe mwenye exposure na ambae sio Muoga unawazidi nini matajiri wa Arusha?
Sawa all the best chief.Ndio nabisha sio za Felix Mrema. Mimi sio tajiri, ila nitakua tu na nitakua na uwezo wa kufanya exposure na nitakua tajiri wa kisasa.
Lowasa alitaka kufungua tv station Arusha akanyimwa leseni... (kibali)kulikuwa na fununu za ujio wa tv station arusha ila mpaka sasa kimya;