Hivi kwanini akina Mama wanavunja ndoa za Watoto wao wa kike?

Malezi

Member
Apr 30, 2022
8
3
Aisee imenitokea hivi karibuni wife ameniacha na kuondoka kurudi kwao kisa sina pesa lakini ushawishi mkubwa wa kuniacha kapewa na mama yake .

Eti anamwambia akatafute mtu mwingine sababu mimi sina pesa na huwa simpi hata mia tano huyo mama mkwe kwa hio sifaahi kuwa na mwanae.

Na hivi sasa huyo mke yupo kwa bwana anaishi nae kinyumba daah inaniuma sana na hata talaka sijampa ameondoka kwangu kinguvu sasa ni miezi 2 na nusu.
 
Pole sana mimi kama wewe ila Mungu mkubwa sasa nina hela. Alafu ndio natafuta sasa wa kuishi naye
 
Aisee imenitokea hivi karibuni wife ameniacha na kuondoka kurudi kwao kisa sina pesa lakini ushawishi mkubwa wa kuniacha kapewa na mama yake .

Eti anamwambia akatafute mtu mwingine sababu mimi sina pesa na huwa simpi hata mia tano huyo mama mkwe kwa hio sifaahi kuwa na mwanae.

Na hivi sasa huyo mke yupo kwa bwana anaishi nae kinyumba daah inaniuma sana na hata talaka sijampa ameondoka kwangu kinguvu sasa ni miezi 2 na nusu.
Mkuu pole. Ila pambania kombe ipo siku watakukumbuka. Na wewe usirudie ujinga wa kumpenda tena tafuta maisha yako yakae sawa angalau
 
Aisee imenitokea hivi karibuni wife ameniacha na kuondoka kurudi kwao kisa sina pesa lakini ushawishi mkubwa wa kuniacha kapewa na mama yake .

Eti anamwambia akatafute mtu mwingine sababu mimi sina pesa na huwa simpi hata mia tano huyo mama mkwe kwa hio sifaahi kuwa na mwanae.

Na hivi sasa huyo mke yupo kwa bwana anaishi nae kinyumba daah inaniuma sana na hata talaka sijampa ameondoka kwangu kinguvu sasa ni miezi 2 na nusu.
Kama huna hela usijaribu kuoa , mkeo ataliwa mbele yako.Tafuta hela × 100000000000000000000000000000
 
Apo inaonekana hata ukimuhitaji mama unakula tu, ni pesa yako tu.

Iyo itakua ni familia ya kisimbe, haina baba wa familia.
 
Aisee imenitokea hivi karibuni wife ameniacha na kuondoka kurudi kwao kisa sina pesa lakini ushawishi mkubwa wa kuniacha kapewa na mama yake .

Eti anamwambia akatafute mtu mwingine sababu mimi sina pesa na huwa simpi hata mia tano huyo mama mkwe kwa hio sifaahi kuwa na mwanae.

Na hivi sasa huyo mke yupo kwa bwana anaishi nae kinyumba daah inaniuma sana na hata talaka sijampa ameondoka kwangu kinguvu sasa ni miezi 2 na nusu.
Unaumia nini sasa na wewe mbona unakuwa kama lijinga. MUNGU anakusaidia anakuondolea misukule kwenye maisha yako wewe unalalamika.

Wewe pambana na maisha yako binafsi. Kuna mambo kibao siajabu haujafanya unakaa unalialia kuachwa na mdangaji na mama yake.

Achana nao. Focus na biashara wekeza akili yako huko. Unawekeza akili kwa mwanamke ambaye kaja kwako kutafuta nafuu ya maisha ili upate nini sasa kwa mfano. So ukiishi nae ndio hela zitakuja au ndio unataka ukae nae mfe na njaa!
 
Kupata mwanamke atakaye ona jinsi unavyo ona ni kazi sana

Kuachana na hilo swala la pesa kwani mkuu una maono gani na maisha yako au ndio Mungu anajua

Kama huna maono anahaki yakusepa kwasababu hiyo hali ni haijulikani itaisha lini
 
Mkuu Tafuta pesa tu , hakuna haja ya kulalamika. Tafuta pesa na Linda afya yako
 
Kupata mwanamke atakaye ona jinsi unavyo ona ni kazi sana

Kuachana na hilo swala la pesa kwani mkuu una maono gani na maisha yako au ndio Mungu anajua

Kama huna maono anahaki yakusepa kwasababu hiyo hali ni haijulikani itaisha lini
In short me ni mwalimu ndio future yangu hilo tu
 
Jaman poleh ila tatizo hyo maza ana roho ya kimasikini alitaka mwanawe ndo awe source yake ya income achana nao n hao watafte hzo pesa km n rahisi kuzpata
 
Aisee imenitokea hivi karibuni wife ameniacha na kuondoka kurudi kwao kisa sina pesa lakini ushawishi mkubwa wa kuniacha kapewa na mama yake .

Eti anamwambia akatafute mtu mwingine sababu mimi sina pesa na huwa simpi hata mia tano huyo mama mkwe kwa hio sifaahi kuwa na mwanae.

Na hivi sasa huyo mke yupo kwa bwana anaishi nae kinyumba daah inaniuma sana na hata talaka sijampa ameondoka kwangu kinguvu sasa ni miezi 2 na nusu.

Sasa siutafute pesa mkuu?,na jinsi ulivyo mjinga umeachwa kwa sababu huna pesa halafu utaoa tena kabla hujapata pesa kila siku utakuja kutulilia hapa
 
Pole sana Mkuu, songa mbele. Huyo angeweza kukuua abaki na mali zako. Sali na weka bidii utafika na usimrudie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom