Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,982
- 45,897
Nakosa hata maneno ya kueleza huu mshangao!
Ina maana Rais hana haki ya kuwa na mawazo yake binafsi?
Kwamba kila Mara tu asikilize ushauri wa washauri!
Kwamba hata kama anaona washauri wamekosea kushauri basi awasikilize tuu ili awe anasikiliza ushauri!
Nakumbuka siku moja nilikutana na mzee mmoja ambaye alinipa somo moja kubwa sana katika maisha, alinimbia " in every situation use your best judgment son"
Sasa sioni ni kwa namna gani tunamwacha Rais akatumia his best judgment na sisi tukapunguza vilio na kuona matokeo ya maamuzi hayo!
Sio lazima yawe with immediate effect ila tutoe nafasi kwa matokeo yake!