Hivi kwani Rais haruhusiwi kuwa na mawazo yake au kuamua anavyoona sawa?

Nakosa hata maneno ya kueleza huu mshangao!

Inamaana Rais hana haki ya kua na mawazo yake binafsi??

Kwamba kila Mara tu asikilize ushauri wa washauri!

Kwamba hata kama anaona washauri wamekosea kushauri basi awasikilize tuu ili awe anasikiliza ushauri!

Nakumbuka siku moja nilikutana na mzee mmoja ambaye alinipa somo moja kubwa sana katika maisha, alinimbia " in every situation use your best judgment son"

Sasa sioni ni kwa namna gani tunamwacha Rais akatumia his best judgment na sisi tukapunguza vilio na kuona matokeo ya maamuzi hayo!

Sio lazima yawe with immediate effect ila tutoe nafasi kwa matokeo yake!
Umesoma mpaka la ngapi bro?unaelewa maana ya katiba? naomba niishie hapo
 
Rais ni taasisi.
 
Familia tu ndio utaweza kuiendesha kwa mawazo binafsi,sehemu ya kazi na unalipwa mshahara hauwezi kuendesha kwa mawazo binafsi.
 
Umesoma mpaka la ngapi bro?unaelewa maana ya katiba? naomba niishie hapo
Nimeishia la nne b, ila hiyo hainizuii kufahamu kilichoandikwa katika ibara ya 37 (1) ya katiba hiyo unayoizungumzia, kama ni ya Tanzania lakini.
 
NCHI IKISHAITWA NCHI KIONGOZI ANAWEZA KUTOA MUELEKEO TU LAKINI MAMBO MENGI WANAFANYA WASHAURI ..KWA KUFUATA MUELEKEO WA KIONGOZI .....INA MAANA KAMA KIONGOZI ANA MSIMAMO MKALI JUU YA MASUALA FULANI WATAMSHAURI KWA MUELEKEO HUO BILA KULETA MADHARA KWA TAIFA ...THE SAME KWA RAIS MWENYE MSIMAMO WA KULIA ,KUSHOTO AU KATI....

URAIS AU UFALME NI TAASISI KUBWA SANA ...KUWEZA KUMUDU KUTEGEMEA AU KUKUBALI KICHWA CHA MTU MMOJA NDIO KIAMUA MUSTAKABALA WA UENDESHAJI WA SIKU HADI SIKU ....NA KATIKA TARATIBU ZA UENDESHAJI WA NCHI MAAFISA WA USALAMA WAMEFUNZWA NAMNA YA KUKABILIANA NA VIONGOZI KADIRI WALIVYO ...AWE MPOLE,MKALI,MWENYE HASIRA ,MZITO WA MAAMUZI nakadhalika .....na pia wana namna ya kukabiliana na kiongozi ambaye HAAMBILIKI

Ndio maana unakuta mfano marekani rais anakutwa na kashfa ambayo wazi unagundua nyaraka wanaoweza kuzipata ni maafisa wake ....na kupelekea hata kupigiwa kura ya kutokua na imani .....ndio maana nchi nyingine kiongozi anaomba kustaafu kumbe behind the scene amelazimishwa ...mfano Papa Benedict alistaafu kwa ugonjwa ...na ni "mfungwa" ndani ya vatican .

Nchi yeyote ile DOLA ina maana ni vile vyombo vyake na vile havitakiwi kuwa kwenye siasa kwa sababu ndio vinailinda dola dhidi ya adui yeyote ...wa ndani au nje .....hata kama kiongozi yeyote akiwamo mkuu akionekana kuwa tishio kwa uhai wa dola wanapambana naye ....KUNA SIRI KUBWA SANA HAPO ....!!!! Na ndio maana viongozi wote duniani huheshimu sana vyombo vya dola .....AMBAVYO PIA NI WALINZI WAKUU WA KATIBA

Mmeona tu jana jeshi la Gambia limekataa kumlinda "rais" ....mkuu wa majeshi anasema ." i love my men and i cant take them into a stupid fight " ..... kikatiba walikuwa na jukumu la kumlinda hadi muda wake umalizike kikatiba ...ulipokwisha ..wakasema hawatakuwa tayari kuendelea kumlinda ....,
Ukiwa unafuatilia uapishwaji wa rais ..kuna kitu kinaitwa SHIFT of POWER ...hiyo ndio total shift of loyalty ......rais anayeingia anapomaliza tu kuapa sekunde hiyo hiyo ....MPAMBE WAKE HUHAMA HARAKA SANA BILA KUPOTEZA SEKUNDE KWENDA KWA RAIS MPYA ...hiyo ina maana he is totally ripped off his power ....na the same moment hapigiwi tena saluti yeyote ...he walks away completely powerless ,na hicho ni kitendo kinachohitaji ujasiri na ndio maana viongozi wengi wa kiafrika bado hawaataki kuona kikitokea ....

MFANO WA VYOMBO VYA DOLA NA ULINZI WA KATIBA ulitokea malawi ...alipofariki rais bingu wa mutharika .....kuna mambo mengi yaliendelea kwenye ikulu ya Blantyre , ikiwemo kuchukua mwili wake na kuupeleka Afrika ya kusini kama mgonjwa wakati ni mfu .....
Wakati Bingu anafariki hakuwa akiongea na makamu wake JOYCE BANDA ...na alikuwa kama amemuweka kizuizini ...kwa hiyo power brokers wa chama tawala wakawa wanataka kuitisha bunge haraka ili waondoe kipengele cha makamu kuwa kaimu rais kikatiba ....MKUU WA JESHI LA MALAWI na vyombo vyake waliingilia kati wakasema lazima katiba iheshimiwe na wakahakikisha anayetakiwa kukaimishwa urais anakaimu ...that was the highest level of ARMY PROFESSIONALISM Katika hali ile hata wangeamua kutwaa madaraka hakuna ambaye angewalaumu ....ila walitekeleza jukumu lao la ULINZI wa katiba .
MFANO mwingine uliwahi kutokea kenya wakati RAIS KENYATTA anafariki ...kundi la mount kenya mafia likiongozwa na CHARLES NJONJO lilitaka kuzuia makamu wa rais daniel moi asiapishwe na walifikia hata kutuma watu wamuuwe ....Moi akakimbilia porini ...ilikuwa hata ngumu kwa jeshi kumpata ili kumpeleka kuapishwa haraka ili kuondoa power vacuum .....kwani alikuwa anataka kutoroka nchi ...na magari yaliyokuwa yakimfuata ..aliongeza speed ya msafara wake ...akidhani wanataka kumkamata wamuuwe ....hadi walipofanikiwa kumshawishi kuongea na simu iliyokuwa kwenye landrover yake ..na kujadiliana naye ndipo akakubali kusimama wakaita helicopter ikamchukua haraka kumpeleka statehouse nairobi kuapishwa haraka ...na hapo hapo akawa tayari anayo nguvu ya dola kupambana na waliokuwa wanataka kumblock kuapa ....kilichofuatia ni mauwaji mengi sana ya chini chini ....hadi akaitwa mkono wa chuma [simulizi za kitabu kilichotungwa na Askari mkuu wa zamu kwenye chumba cha mawasiliano siku Kenyatta anafariki ]

so in conclussion URAIS NI Ile PRESIDENTIAL INSTITUTE ...nchi ikifikia ukomavu anyone can seat on the helm and the country stays ......kwa kuwa wale wanaoendesha kazi hawabadiliki sana na ni proffesionals
Asante kwa shule nzuri mkuu, ningependa pia kujua ni circumstance gani ambazo Rais anaweza kufanya maamuzi yake binafsi bila kusikiliza ushauri wa washauri wake.
 
afanye maamuzi lakini afuate utaratibu wa katiba
Sasa kama katiba inamruhusu kutofuafa ushauri mpaka pale kunapokua na ulazima wa kufanya hivyo kikatiba si anakua amefuata katiba?
 
Nakosa hata maneno ya kueleza huu mshangao!

Ina maana Rais hana haki ya kuwa na mawazo yake binafsi?

Kwamba kila Mara tu asikilize ushauri wa washauri!

Kwamba hata kama anaona washauri wamekosea kushauri basi awasikilize tuu ili awe anasikiliza ushauri!

Nakumbuka siku moja nilikutana na mzee mmoja ambaye alinipa somo moja kubwa sana katika maisha, alinimbia " in every situation use your best judgment son"

Sasa sioni ni kwa namna gani tunamwacha Rais akatumia his best judgment na sisi tukapunguza vilio na kuona matokeo ya maamuzi hayo!

Sio lazima yawe with immediate effect ila tutoe nafasi kwa matokeo yake!

Hapaswi kutoka nje ya katiba
 
You know the words but you miss the meaning! Pole
 
Sasa kama katiba inamruhusu kutofuafa ushauri mpaka pale kunapokua na ulazima wa kufanya hivyo kikatiba si anakua amefuata katiba?

Katiba haijampa mamlaka kupanga bajeti

1. Uwanja chato nani kapanga bajeti?

2. Bombadier nani kapanga bajeti

Haruhusiwi kuoverride katiba

Hakuna kufanya siasa yeye anafanya siasa dodoma kila wakati

nk
 
Anaruhusiwa kuwa nayo kwa ajili ya familia yake, lakini kuogoza anatakiwa kufuata katiba, sheria, kanuni na taratibu. Cheo cha Rais siyo cha mchezo mkuu, hapo amewekewa washauri wa kila aina maanake kabla ya kutamka chochote lazima awaconsult wataalamu wake kwanza. Hao wataalamu wanalipwa kwa kazi hiyo tu kumshauri Mhe sana
 
Nakosa hata maneno ya kueleza huu mshangao!

Ina maana Rais hana haki ya kuwa na mawazo yake binafsi?

Kwamba kila Mara tu asikilize ushauri wa washauri!

Kwamba hata kama anaona washauri wamekosea kushauri basi awasikilize tuu ili awe anasikiliza ushauri!

Nakumbuka siku moja nilikutana na mzee mmoja ambaye alinipa somo moja kubwa sana katika maisha, alinimbia " in every situation use your best judgment son"

Sasa sioni ni kwa namna gani tunamwacha Rais akatumia his best judgment na sisi tukapunguza vilio na kuona matokeo ya maamuzi hayo!

Sio lazima yawe with immediate effect ila tutoe nafasi kwa matokeo yake!
Maana ya kuwa na katiba ni nini? Je akitumia mawazo yake kutupeleka kubaya iweje?
 
Mkuu,

Kuna kanuni ya kisheria inayofahamika kama "presumption of sanity" ambayo ndiyo hutumika katika kuangalia utimamu wa akili ya mhusika, kanuni yenyewe inasema hivi;

" A person is presumed to have testamentary capacity until there is evidence to undermine that presumption" ikiwa na maana kwamba,

Mtu yeyote atafahamika ni timamu mpaka kuwe na ushahidi unaopingana na utimamu wake.

Kanuni hiyo ipo applicable pia kwa Rais wa TFF.

Ila ili sasa tufikie na suluhisho la utimamu wa huyu mwingine, katiba kupitia Ibara ya 37, imeweka utaratibu wa namna ambayo tunaweza kufikia hitimisho hilo, utaratibu wenyewe ni kama ufuatavyo;

37.-(1) Apart from complying with the Provisions contained this Constitution, and the laws of the United Republic in the performance of his duties Discharge of duties and in functions ,the President shall be free and shall not be Obliged to take the advice given to him by any Person save where he is required by this Constitution or any other law to act in accordance with the advice given to him by Act No. 15 of 1984 s.8 Act No.4 any person or authority. of 1992

(2) Where the Cabinet finds that the President is unable to discharge the functions of his office by reason Of Physical Or mental infirmity, it may submit to the Chief Justice a resolution requesting him to certify that the President by reason of physical or mental infirmity, is unable to discharge the functions of his office. Upon receiving such a resolution, the Chief Justice shall appoint a medical board of not less than three persons from amongst experts recognized as such by the law governing medical Practitioners in Tanzania and such board shall inquire into that issue and advise the Chief Justice accordingly, and he s.12 Act No.34 of 1994 s.6 may, after considering the medical evidence, present to the Speaker a certificate certifying that the President, due to physical of mental infirmity, is unable to discharge the functions of his office; and if the Chief Justice does not rescind that certificate within seven days for the reason that the President's condition has improved and he has resumed work, then it shall be deemed that the office of the President is vacant, and the provisions contained in subarticle (3) shall apply.

Kutokana na Ibara hiyo ya 37, ni jaji mkuu pekee ndiye mwenye jukumu la kuthibitisha utimamu wake baada ya kupokea ushauri kutoka kwa kamati maalum ya kitabibu aliyoiunda yeye ili kuthibitisha madai hayo kama yapo.
Itakuaje Kwa mfano Kwa kaimu j
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom