KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,332
Haya Sasa Kafungue Kesi Na Useme Wapi Nimemwita Jitu Kwani Kusoma Haujui? Au Shida Ipo Kwenye Kuelewa Ulichokisoma?Kwa vile jamaa ni mrefu sana akilinganishwa na huyo mwimbaji wa gospel ndio sababu ya kumwita jitu? Huo ni udhalilishaji na unastahiki kulalamikia na huyo uliyemuita jitu.
Huyo uliyemuita jitu ndiye anaweza kufungua kesi wala si mimi au hujui kusoma? MF.Haya Sasa Kafungue Kesi Na Useme Wapi Nimemwita Jitu Kwani Kusoma Haujui? Au Shida Ipo Kwenye Kuelewa Ulichokisoma?
T'mok
Unayo kamusi ya kiswahili hapoo?mijitu ndio nini
unaweza ukascreenshot nilipomuita mijitu?Huyo uliyemuita jitu ndiye anaweza kufungua kesi wala si mimi au hujui kusoma? MF.
Watu kama hawa wapo ili kuutukumbusha wanadamu jinsi tulivyokuwacau tulivyopaswa kuwa...sema tu dhambi zinazidi kutudogosha.Pichani ni mwimbaji wa nyimbo za injili ambaye alikuwa ni mshindi wa BSS miaka kadhaa iliyopita(Huyo Mfupi)
Anaitwa pascal kasiani
Hii Picha alipiga akiwa Mwanza nadhani ni wiki iliyopita
hebu sema neno juu ya huyo mwambatani wake katika picha
View attachment 891170
Wewe ujatembea bado, huyo nchini Marekani ni sawa na mbilikimo tu.Pichani ni mwimbaji wa nyimbo za injili ambaye alikuwa ni mshindi wa BSS miaka kadhaa iliyopita(Huyo Mfupi)
Anaitwa pascal kasiani
Hii Picha alipiga akiwa Mwanza nadhani ni wiki iliyopita
hebu sema neno juu ya huyo mwambatani wake katika picha
View attachment 891170