Hivi kwa nini??

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,925
31,850
Madayaspora wengi ndio huwa wanaanzisha mada za kutokuwepo kwa Mungu?,

Exposure to different culture is to blame,

Ukute Kiranga alikuwa anaenda misa ya kwanza jumapili,lol :cool::cool::p kaenda kwa usa baby mambo yamekuwa tofauti,lol

Anyway,tuyaache hayo, nilikua nina taka kuuliza,kwa nini makanisa walituletea wenyewe,halafu kwao matupu????o_O



“Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee” [HASHTAG]#Mithali[/HASHTAG] 22:6
 
ndio nani mkuu?:rolleyes:
Classmate wa BASHITE, na pia housemate. Wameishi ote Pasiansi baada ya Daudi kufeli darasa la 4 KOROMIJE, akaona noma na kuhamia Mwanza Mjini kwa Kamese Family ili kurudia na baadae kuendelea la 5!
 
he he! jiongeze na wewe wamegutuka ni ulaghai nani atapenda..? hili jambo linamstakabali mkubwa mno ndio maana kunakuwa na mikanganyiko ni jukumu lako kung'amua.. kama si mtu wa kuhoji hautapata hoja! nilikuwa hapo kabla lkn kadri nilipozidi kusoma kile kitabu nikawa deep in! ila nikagundua sipo free kwa maana kila nikiwaza najilimit kutokana na yale mapokeo! ila nilipojiachia free nikaanza kuona utofauti na makosa kedekede ukiishi kwa kuificha akili yako ndani ya chupa hautaona nje ya chupa kabla hujaingia mkenge kuwa free ili uweze kudge kile kitu and then utaona uperfect wake..
 
The devil is busy destroying people.
Bora yawe empty kuliko kujaza makanisa mkitoka hapo mnaenda panga foleni kwa kalumanzila(Bongo style).
 
Classmate wa BASHITE, na pia housemate. Wameishi ote Pasiansi baada ya Daudi kufeli darasa la 4 KOROMIJE, akaona noma na kuhamia Mwanza Mjini kwa Kamese Family ili kurudia na baadae kuendelea la 5!
Lakini jamaa ni mtaalamu wa kufeli, mitihani ilianza kukohoa tangia darasa la nne.
 
Namtafuta Mwanaid Kamese.

Mkuu sielewi mada hii imeingiliana vipi na huyo mtu
Classmate wa BASHITE, na pia housemate. Wameishi ote Pasiansi baada ya Daudi kufeli darasa la 4 KOROMIJE, akaona noma na kuhamia Mwanza Mjini kwa Kamese Family ili kurudia na baadae kuendelea la 5!

una muda kweli wakuongea mashudu,sasa huyo mtu kaingiaje kwenye hii mada???endelea kama unataka ugomvi,
 
uzuri kashawambia kwamba msiponiabudu hata mawe yataniabudu € PRAISE THE LORD na inabidi ujiulize bila dini unadhan ustarabu hata huu mdogo ungekuwepo duniani inawezekana saiz ungekuwa barabarani unapigwa mechi live na watu wala hawashangai hata kidogo so dini is there to rule the world in the good manners japokuwa kuna watu wanaitumia ndivyo sivyo
 
Wazungu na Waarabu walifanya hivyo kutuletea dini zao ili wapate kututawala vyema kumbe inawezekana hata huko kwao hakuna.

Wao walipotoka huku Bongo na kwenda huko USA ndo wakaijua kweli na ndiyo maana wakabadilika.

Tusiwalaumu sana, huenda siku moja nawe ukaijua kweli.
 
Back
Top Bottom