Director D
Senior Member
- Feb 24, 2016
- 192
- 229
Nipatie mojawapo mkuuMmh inatokana na sababu nyingi tu mkuu
sababu ya kimaumbileNipatie mojawapo mkuu
Kaufafanuzi Kidogo mkuusababu ya kimaumbile
Uwezo wa kuhimili kiasi kikubwa cha pombe...Mwanaume anaweza akanywa pombe nyingi kuzidi mwanamke ( ila sio wote)Kaufafanuzi Kidogo mkuu
kamaumbile how??
Umeelewa ndio maana umehoji"kichwa cha habari na kilichoandikwa nitofauti sijui mimi ndiyo sijaelewa
wapo wanawake wenye waume walevi hivyo wanaweza kufahamu hizo sababu"Sasa si uwaulize wanaume, wanawake watajuaje?
kidumeWewe ni ke au me?
Basi sawakidume