Hivi kwa nini Wanaume wanalipia ngono? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwa nini Wanaume wanalipia ngono?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ibrah, Jan 2, 2010.

 1. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Wadau, katika miji mikubwa hapa nchini na hasa Dar mitaa ya Ohio na sehemu nyinginezo za Jiji, kuna akina dada wanajiuza- kutoa ngono kwa pesa aka Madada Poa. Vivyo hivyo kwa mija kama Arusha. Inasemekana baadhi ya wateja wao wakubwa ni watu wenye pesa zao na hata watu wa kawaida mradi tu waweze kulipia huduma hiyo. Inasemekana pia Madada hao huweza kutoa huduma hiyo hadi kwa watu 10 kwa siku kutegemeana na soko kwa siku hiyo.

  Swali langu ni hili; Je, ni kwa nini Wanaume huenda kutafuta huduma hiyo mitaani? Saikolojia yangu inanipa taabu sana-Inakuwaje unaenda maeneo ya MaCD ukidhamiria kupata huduma ya ngono kwa mtu ambaye humjui, hujawahi kumuona? How do yo feel when you are performing with a stranger? Ni kweli unapata utoshelevu (satisfaction) unapofanya ngono ya namna hiyo?

  Kwa akina dada. Je, wakati wanapata hao wateja huwa wanajisikia feelings na kutosheka? Maana kwa jinsi tulivyoumbwa ni kwamba tendo la ngono ni mchakato (process) linahitaji kuandaana hadi unahisi mwenzako yuko tayari kwa tendo. Is that possible wakati wa ngono ya kununua?
   
 2. M

  Mundu JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2010
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  ili tendo la ngono liwe murua kwanza yahitajika ridhaa. mwanamume anapolipa pesa kwa dada poa huwa anaomba ridhaa. Pesa inapopokelewa, tendo linakuwa limeridhiwa na pande zote.

  Mnapokubaliana, basi wote kwa pamoja mnatengeneza feelings... Na ndio maana wateja wa madada poa hurudia tendo hilo tena na tena.
   
 3. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  Hivi wanyama huwa wanakuwa na mchakato pia?
   
 4. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Madada-poa wanatake advantage kwa madada-moto. Pale hakuna longolongo, ni plug nad play tu. Wanaume wakizinguliwa na madada-moto huenda kujihifadhi kwa madada-poa na kufurahia maisha.

  Katika kuandaana, hapo usiombe mkuu, kama wataka kuona mwanaume anavoandaliwa, basi madada poa kwa kuandaa wanaume ni mwisho!

  Naamin kuwa hata kwa madada moto pia ngono hununuliwa hasa mijini, na tena kwa bei ghali zadi, mfano kuweka mafuta kwenye gari, ulipia umeme, maji, nyumba nk. Ndio maana vijaa masiini pia ni wateja wakubwaa wa madada poa. Nenda dada moto bila rupia uone kama hujapigwa buti.
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mkuu kwanza heri ya mwaka mpya. Biashara unayoizungumzia ni biashara kongwe sana ambayo hata wakati wa Yesu ilikuwepo. Kwa utashi wangu kuna sababu nyingi tu zinazopelekea wanaume kununua ngono. Kati ya hizo ni mifarakano na kutotosheka na kuridhishana ndani ya ndoa kwa wale wenye ndoa na kwa wasiooa yategemea sana na mtu mwenyewe, ukienda kwa dada poa ni fasta ukishalipa unakula mzigo unaondoka. Vijana wengine subira inawashinda hawawezi kubembeleza mwanamke na kusubiria majibu ambayo huchukua wiki kadhaa vilevile huambatana na gharama nyingi ili kuweza kumweka sawa huyo binti, sasa utakuta unachukua muda mrefu kumpata girlfriend na gharama juu zaidi ya ile elfu tano au zaidi utakayo mlipa dada poa. Kingine dada poa mkimalizana kesho hakupigii simu akitaka voucher ya simu, pesa ya kodi, nguo, begi au umpeleke bagamoyo, au umnunulie gari. Kwa wanandoa mitafaruku inayotukumba ndani ya ndoa na kupelekea mama kukunyima unyumba labda kwa wiki na mzee ulizoea daily kugonga, so utakuta mtu anakimbilia kwa dada poa anagonga akitoka hapo kesho hatafutwi kwa sms wala simu. Kwa nini mwanaume wanagonga mwanamke stranger, always mwanaume anakuwa stimulated na kile anachoona na mzuka unapanda pale pale na unajua hawa ma dada poa walivyo na mitego ya kimtindo, kimini na **** la kichina mwanangu kitu lazima kisimame na damu ikisha rush namna hiyo basi akili inaingia udhaifu, mkuu unajikuta unaingia mtegoni unakula mzigo fasta. Kwa akina dada pale siwezi wasemea km wana feel wakiwa kwenye mechi au vipi
   
 6. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,357
  Likes Received: 3,116
  Trophy Points: 280
  mmhhh.............hapa wajomba hapaeleweki.mi naona tamaa ndio taizo,wadada wanamaisha magumu hivo wameamua kujitafutia kwa njia hiyo ambayo ni haramu na hairuhusiwi japo wahusika wanaangaliwa tu na madanguro yapo wazi kila sehemu.
  Hapo kwa kweli kuna satisfaction ambayo sio ile 100% kwani kuna kurush kutokana na kuwepo na hofu (kama ujuavyo wote wawili wanakuwa wezi),pilin kunakuwa hakuna maandalizi yoyote wakati wa kukutana na macd (THIS IS HIT AND RUN) unaambiwa acha longolongo we sema unashingapi.
  ukiuliza kwa nini wanaume wanatafuta macd na walio wengi utakuta wana pesa zao na qwengi hupita na magari yao kuwachukua ili wakafanye ngono hilo ni swali pana...........ila utafiti unaonesha kuwa wasichana wengi wa kileo hawako tayari kuolewa,wakiwa warembo hujirusha na wanaume tofauti tofauti kwa kupewa zawadi kemkem hivyo huzoea na mwishowe anaamua kuishi kwa namna hiyo..........ndio maana ukipita mitaa hiyo utaona wanawake ni warembo kwelikweli wengine unafikiria huyu nikimuona mchana mtaani bila kujua si unaweza kudhania umepata kumbe umepatikana?
   
 7. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280

  Mkuu Jile, inaonyesha pia kuwa wakishaziea maisha ya hivyo, huwa wanakuja kujuta baadaye hasa mwili ukishachakaa na vitu vipya vikiingia sokoni! ilivyo ni kwamba wanakuja kugundua wameshachelewa tayari!
   
 8. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #8
  Jan 2, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio kweli mkuu
   
 9. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #9
  Jan 2, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  hicho kisingizio cha hali ngumu ya maisha sikikubali kwani hata ukiangalia wako wasichana wenye kazi tena nzuri tu ila ni machangu, pia hata kwa wanaume hiyo naona ni hali moja mbaya sana kwani hapo lengo ni kujifurahisha tu huyo mwanaume na mwisho wake ukinogewa then unapiga kavu na ngoma juu. sasa utasema hiyo ni nini? lazima tuache hiyo tabia haraka sana kwani siyo nzuri. Magonjwa ni mengi sana na pia lishe yetu siyo nzuri sana hasa sisi watanzania kwani miaka ya kuishi mtanzania sasa ni 55 tu.
   
 10. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #10
  Jan 2, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwa kuwa Ibra (mchokoza mada) yeye ameuliza kwanini wanaume hulipia ngono?
  Hiyo ndiyo mada yenyewe, mimi ningependa kujibu kama ifuatavyo: Mwanaume analipia ngono kwa kuwa ni mapokeo ya tangu zama kama ambavyo ili ndoa ikamilike ni lazima mwanamume alipe mahari ndipo suala hili litambulike na jamii kwamba ni ndoa halali. Naamini hili ndilo jibu.
   
 11. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #11
  Jan 2, 2010
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Jibu ni ulimbukeni na ujinga uliowatawala vichwani mwao. Ila kwa wale wasiolipa ndio huitwa wanaume rijali na shupavu awezae kukabiliana na vishawishi. Na ni wanaume wachache sana wenye ubavu huo.
   
 12. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #12
  Jan 2, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hizi ni ndoto.

  kila mwanume hulipa japo mazingira ya malipo na viwango hutofautiana.

  ndani ya ndoa malipo huwa kwa mtindo wa matumizi, tena haya yapo kisheria. kwenye uchumba huwa kwa mtindo wa zawadi kugharimia outings nk. hivyo msipotoshe malipo yapo, tena ya macd ni nafuu sana comparatively.
   
 13. Kafara

  Kafara JF-Expert Member

  #13
  Jan 2, 2010
  Joined: Feb 17, 2007
  Messages: 1,392
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  naamini ngono inalipiwa kutokana na dhana iliyojengeka kwa mwanaume kwamba "anafaidi" ingawa ukweli pande zote hutegemea kuburudika kutokana na tendo hilo. hii utaliona hata kwenye lugha itumiwayo mfano "kumpiga mi**", "kumduu" nk. hii inaonyesha jinsi wanaume wanavyoonekana/wanavyojiona ni watenda wakati ukweli ni kwamba mwanaume na mwanamke wanatendana na wote wawili (katika hali ya kawaida) wanafurahia tendo.
   
 14. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #14
  Jan 2, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Kwa sababu ya tamaa zao wanaume, baaadhi yenu wanaume hamuwezi kukaa muda mrefu bila kuding ding.
   
 15. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #15
  Jan 2, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Swadakta Penny, Uanamume ni kuweza kujiheshimu na kuji-control, Uanaume si kufungua zipu kwa kila mwanamke umwonaye, Uanaume ni uwezo wa kujitawala na ku-control hisia zako, Uanaume ni kumiliki na kujimiliki.
   
 16. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #16
  Jan 3, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hizo ni hekaya tupu!!
   
 17. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #17
  Jan 4, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hao madada nadhani nia yao ni kumkamua mwanaume amalize ili waendelee na kazi. Nadhani wako kikazi zaidi kuliko starehe. Sex inaconsume energy, akijiachia si ndo atachoka kiasi akija mteja mwingine ashindwe kumuhudumia?
   
 18. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #18
  Jan 4, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  halafu cjui huwa mnajickiaje jamani, mdada kalala na watu zaidi ya wa3 kwa mkupuo, na wewe unaenda tena, hivi hamna kinyaa kabisa, mijasho cjui nini khaa...
   
 19. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #19
  Jan 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,186
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  Si wanyama (na binadamu ni mnyama pia) tu hata ndege pia. Jaribu kuangalia wanyama (hayawani) kabla ya ku-DO huwa kuna mchakato unatangulia kwanza.
   
 20. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #20
  Jan 7, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  iko kazi
   
Loading...