Hivi kwa nini Wanaume wanalipia ngono?

halafu cjui huwa mnajickiaje jamani, mdada kalala na watu zaidi ya wa3 kwa mkupuo, na wewe unaenda tena, hivi hamna kinyaa kabisa, mijasho cjui nini khaa...

sijui huwa wanafanya na Romance cause hili tendo lazima muandaane ..mmh hatari
 
halafu cjui huwa mnajickiaje jamani, mdada kalala na watu zaidi ya wa3 kwa mkupuo, na wewe unaenda tena, hivi hamna kinyaa kabisa, mijasho cjui nini khaa...
..Nyamayao, hata mama lishe sahani ikitumiwa na mteja anasafisha kwanza ndio anampakulia chakula mteja mwingine. Same to dada poa unadhani wanahudumiwa wateja wao kihivyo ufikiriavyo? Halafu uzuri wa dada poa bana unapata varieties sio kama nyie mnaojifanya wa geti kali kumega mara moja kwa mwezi, gharama na usumbufu kibao,na hakuna varieties!! Dada poa ukimalizana nae no addition costs, kesho mkikutana kama hamjuani, hakuna vi-sms na kubeep beep na mazinga ya vocha za simu!!!!
 
Hivi wanyama huwa wanakuwa na mchakato pia?

Nimewahi kufuga Mbuzi, Njiwa, Mbwa nk. Jibu langu kwa swali lako ni NDIYO. Hata hivyo, wataalamu wanatuambia (ukiacha binaadamu na dolphins!) wanyama wengineo hawafanyi sex for fun bali kwa ajili ya kuzaliana tu.
 
halafu cjui huwa mnajickiaje jamani, mdada kalala na watu zaidi ya wa3 kwa mkupuo, na wewe unaenda tena, hivi hamna kinyaa kabisa, mijasho cjui nini khaa...

Nyamayao hilo lina nafuu kwa sababu hajawaona hao wengine! Wanaume watu wa ajabu sana! Hujawahi kusikia mwanamke 'kapigwa mande' au 'kapigwa mtungo' (gang rape)? Yaani wanapeana zamu halafu wote wanaridhika! Aaagrrrr!
 
Hivi wanyama huwa wanakuwa na mchakato pia?
Hapa ni satisfaction guaranteed,na kama hujawahi kuwa na dada poa basi nakushauri usithubutu,sababu unaweza chonga mzinga,kwanza hawana tabia za kishamba za kupigana mizinga,na wanakupokea kwa nyuso za furaha,pia ukishamaliza mishughuliko unapewa na akhsante plus karibu tena!!
 
Hapa ni satisfaction guaranteed,na kama hujawahi kuwa na dada poa basi nakushauri usithubutu,sababu unaweza chonga mzinga,kwanza hawana tabia za kishamba za kupigana mizinga,na wanakupokea kwa nyuso za furaha,pia ukishamaliza mishughuliko unapewa na akhsante plus karibu tena!!
..Big Up Mkuu...Na hakuna uwezekano wa kutotumia condom unakuwa unajua wazi kuwa hauko peke yako!!! Tofauti na hawa wachumba wetu unajifanya uko peke yako kumbe mko kibao mara Oooh nimemzoea huyu ngoja tugonge STERIO ndio tabu zinaanzia hapo....! I like it.
 
Jibu ni ulimbukeni na ujinga uliowatawala vichwani mwao. Ila kwa wale wasiolipa ndio huitwa wanaume rijali na shupavu awezae kukabiliana na vishawishi. Na ni wanaume wachache sana wenye ubavu huo.

Utafiti usio rasmi nilioufanya mimi binafsi unaonyesha wanaume wengi weney pesa, vyeo, familia nzuri ndio wanunuaji wakubwa wa machangudoa. Ukiangalia mfano Dar biashara ya uchangudoa imeshamiri zaidi maeneo yaliyo na watu wenye kipato cha kati na cha juu kama Kinondoni, Masaki, Kijitonyama na Sinza! Ni aghalabu kukuta Temeke kuna machangudoa.

Pia, mambo anayoyafanya mwanadamu (awe mwanamke au mwanamme) akiwa sirini huwezi kuyajua. Na ukiyajua na kulinganisha na mwonekano wake wa nje unaweza usiamini.

Don't judge a book by looking on its cover.
 
sijui huwa wanafanya na Romance cause hili tendo lazima muandaane ..mmh hatari

Mwanaume aliyeamua kwenda kuchukua changudoa lazima tamaa za mwili zinakuwa zimezidi kwa hiyo jogoo linakuwa limeshapanda mtungi...hahitaji romance wala kuandaliwa.

Changudoa anayechukuliwa yuko kazini, na kwa sababu analipwa pesa, hahitaji ''sexual satisfaction'' na kwa hiyo hahitaji kuandaliwa!
 
Mwanaume aliyeamua kwenda kuchukua changudoa lazima tamaa za mwili zinakuwa zimezidi kwa hiyo jogoo linakuwa limeshapanda mtungi...hahitaji romance wala kuandaliwa.

Changudoa anayechukuliwa yuko kazini, na kwa sababu analipwa pesa, hahitaji ''sexual satisfaction'' na kwa hiyo hahitaji kuandaliwa!

asante Masaki angalau umenipa ufafanuzi wa hili jambo cause nilikuwa kila nikiliwaza sipati majibu
 
jamani madada poa ni poa kibei kama lilivyo jina lao tofauti na hawa mahara aka girlfriend,wachumba na wengineo jamani hawa ni gharama akuna tena ulipie gest or hotel, ukimaliza mchezo umpe pesa utume vocha saloon shopping mh dada moto gharama
 
Kwa kuwa Ibra (mchokoza mada) yeye ameuliza kwanini wanaume hulipia ngono?
Hiyo ndiyo mada yenyewe, mimi ningependa kujibu kama ifuatavyo: Mwanaume analipia ngono kwa kuwa ni mapokeo ya tangu zama kama ambavyo ili ndoa ikamilike ni lazima mwanamume alipe mahari ndipo suala hili litambulike na jamii kwamba ni ndoa halali. Naamini hili ndilo jibu.
na kwa wale ambao wanawake ndo wanatoa mahari!!!???
 
Ngono kama vitu vingine inafaida nyingi na hasara pia
Moja ya faida ni kupunguza stress. Nadhani hawa watu wanaolipa ili watekeleza azma hiyo inawezekana moja ya sababu ni kutotaka attachements or after effect za shughuli hiyo na vilevile inawwezekana kutokana na hao vidosho kuwa professional huwa hakuna inhibitions YOU GET WHAT YOU PAY FOR nadhani hiyo ndiyo motto ya kina dada hawa.
 
Wanaume wengi huteseka sana kwa kutoridhishwa ndani ya ndoa zao hivyo huenda kununua ngono inakouzwa. Wanaume wengine ni wasafiri, wapenzi wao wako mbali nao, ila wanahitaji kujiburudisha kwa ngono na hulazimika kununua kwani kujenga mahusiano ya kudumu inakuwa vigumu. Wanaume wengine kwa sababu mbali mbali hawana wanawake wa kudumu (wake, wachumba, n.k.) huvyo huridhisha matamanio yao kwa kununua ngono.

Kwa kifupi, mwanaume aliyekamilika kibayolojia hulipia tamaa zake za kingono kuliko kitu kingine chochote. Ni tamaa za kingono zinazowafanya wanaume wawe tayari kulipa gharama kubwa sana ili kuwaweka wanawake ndani kama wake zao. Karibu ndoa zote mwanaume ndo provider, hata kama mwanamke ana mapato makubwa lakini mwanaume ndo hugharimia zaidi kuwepo kwa familia; ingawa inaweza isimsaidie sana kingono, lakini evolutionary instincts za mwanaume zinamtuma hivyo ndo maana akikosa ngono ndani huanzisha mahusiano mengine, .... na mengine.... na mengine ... hadi atakapokufa.

Mwanaume siku zote anafukuzia wanawake hapa na pale hadi atakapokufa ... kwa hiyo kulipia ngono ni sehemu ya zoezi hilo.

Mwanaume and DRIVE kubwa zaidi ya kutaka ngono kuliko mwanamke, hata kama baada ya ngono kufanyika mwanamke anaweza akawa amenufaika zaidi, mwanamke hana DRIVE hivyo hupokea.

Biashara ya ngono ipo kwa sababu wanaume (wanunuzi) wapo ... na Wanawake (wauzaji) wapo vile vile.
 
Hiyo ni biashara ni kawaida mmoja anakuwa na bidhaa muuzaji na mwaingine anakuwa ni mhitaji wa bidhaa (Mnunuzi) hivyo suala hilo ni kuwa mmoja anahitaji kushusha mzigo na mwingine na ahitaji mshiko.
 
Hawa madada poa acha wengine, Q-Bar nilimuona mmoja nilitamani kumchukua lkn shilingi haikuniruhusu.Wanatamanisha sana ukiwaona.
 
Back
Top Bottom