Hivi kwa nini ni wanaume zaidi?

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,492
1,311
Kesi nyingi za kufumania na kujiua au kuua zinafanywa na wanaume .
Hivi ni kwanini?
Kwanini usiamini kuwa binadamu ni nyoka kwenye nyasi anauwezo wakufanya kila atakalo. Na kwahiyo uwe tayari kwakila tukio na kituko na ukubaliane na matokeo bila kujidhuru?

Kuua au kujiua faida ni yanani na kwa kifupi si solution sana sana unawaachia machungu na taabu ndugu na jamaa na watoto kama mlikuwa nao.

Saingine unajiua after 2 months mwanamke anaolewa na anasahau kabisa kama alikusababishia kifio.
Ukiona huyu partner hakufai kabisa achana naye chukua mwingine.
Wakuu tutafakali kabla ya kuchukua hatua?
 
Asante kwa post hii! je, umeshawahi kumfumania live mpenzi wako? What did you do? Jibu lako ni reflect hi thread. Ama sivyo, subiri yakufike!
 
Kwa kweli huwezi jua utafanyaje ukifumania mpaka ikutokee maana ile hasira inapopanda pale inakuwa ya hali ya juu sana sijui kwa nini jamani hivi haya mapenzi yameubwaje sijui unampenda mtu kuliko hata kitu chochote kile, tunasemaga wapenzi wetu ni wa pili baada ya wazazi lakini nahisi ni wapenzi ni wa kwanza
 
wanawake bana..! Roho zao nyepesi sana..yani unajiua leo kesho mtu mzima juu ya kifua! yaani..
 
na wanaume je?
wanakaa mda gan?

kuna baba nimemwona yaan katoka makaburin kumzika mkewe afu uyooooooooooooooooooooo nyumba ndogo....
 
we unasema kufa, mi nimeona mtu anaolewa saa10 jioni, saa3 mpaka8 yupo kwa bwana wake wa zamani anaaga. hapo usijitundike tu?
 
ni kwa sababu MTENDA AKITENDWA HUONA KAONEWA

Kesi nyingi za kufumania na kujiua au kuua zinafanywa na wanaume .
Hivi ni kwanini?
Kwanini usiamini kuwa binadamu ni nyoka kwenye nyasi anauwezo wakufanya kila atakalo. Na kwahiyo uwe tayari kwakila tukio na kituko na ukubaliane na matokeo bila kujidhuru?

Kuua au kujiua faida ni yanani na kwa kifupi si solution sana sana unawaachia machungu na taabu ndugu na jamaa na watoto kama mlikuwa nao.

Saingine unajiua after 2 months mwanamke anaolewa na anasahau kabisa kama alikusababishia kifio.
Ukiona huyu partner hakufai kabisa achana naye chukua mwingine.
Wakuu tutafakali kabla ya kuchukua hatua?
 
ahsante ila kumbuka ukikutana na mambo makubwa kama haya ndo utajua kwanini wenzio wanajiuwaga au wanachukuwa uamuz wa namna hiyo japo ninaamin binadamu tunatofautiana hasira na maamuzi so jiurize kwanza ndo utafakar
 
Mmh hebu analyse data zako vizuri mchango wangu ktk thread hii unatokana na uelewa wangu pamoja na experience niliyonayo tokana na kuangalia mambo yanavyokwenda. Wanawake wengi sana na vibinti ndio wanaoongoza kwa kujiua then kutendwa na wapenzi wao! Kuhusu fumanizi ni kwel wanaume twaongoza, nadhan ni kutokana na mioyo yetu ya kutotaka kukubali ukweli kwamba wake zetu waaminifu, wanaume hupenda kushuhudia, kujiaminisha wenyewe juu ya matendo ya wake/wapenz wao!
 
Mh yawezekana kwa experience yako, but wanao ua na kujiua mara nyingi naona ni midume!
 
Wahenga wanasema 'mwanangu kuwa uyaone, ukishakuwa mkubwa hutauliza maswali hayo tena'.
 
Nimeyaona ndio maana nayauliza kwanini ili kutafutia ufumbuzi na kujua zaidi
 
Kama hujui utafanya nini utakapomfumania mwenza wako, ACHANA kabisa kumfuatilia nyendo zake - spying - ! Mimi nina uhakika mke wangu hawezi kunifumania na mimi ziwezi kumfumania - Najua wengine watakuja na Theory za "LOVE"!
 
Kesi nyingi za kufumania na kujiua au kuua zinafanywa na wanaume .
Hivi ni kwanini?
Kwanini usiamini kuwa binadamu ni nyoka kwenye nyasi anauwezo wakufanya kila atakalo. Na kwahiyo uwe tayari kwakila tukio na kituko na ukubaliane na matokeo bila kujidhuru?

Kuua au kujiua faida ni yanani na kwa kifupi si solution sana sana unawaachia machungu na taabu ndugu na jamaa na watoto kama mlikuwa nao.

Saingine unajiua after 2 months mwanamke anaolewa na anasahau kabisa kama alikusababishia kifio.
Ukiona huyu partner hakufai kabisa achana naye chukua mwingine.
Wakuu tutafakali kabla ya kuchukua hatua?

Umesahau kuwa ili liwe fumanizi inabidi kuwa na mwanamke na mwanaume!
 
Kama hujui utafanya nini utakapomfumania mwenza wako, ACHANA kabisa kumfuatilia nyendo zake - spying - ! Mimi nina uhakika mke wangu hawezi kunifumania na mimi ziwezi kumfumania - Najua wengine watakuja na Theory za "LOVE"!

Ukimkuta ndani kwako na kidume wamejilaza JE?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom