Hivi kwa nini mnawadhalilisha waalimu?

Mbwa dume

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
5,844
9,988
Mwanafunzi wa kiume unapomtongoza mwalimu wako wa kike hiyo ni laana na ndiyo maana mwaka huu wengi mmefeli!
1456667535917.jpg
 
Mkuu mapenzi ni Hisia tu kama mtu huna mahusiano nae ya damu basi nilihusa kumueleza hisia zako za mapenzi haijalishi status yake kama atakuwa willing basi mapenzi yanaanza
 
Back
Top Bottom