Hivi kwa nini Mkoa wa Mtwara unaongoza kuwa na wagonjwa wa akili wengi 'machizi'

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Wana JF.
Leo asabuhi tarehe 10 may 2011, kwenye taarifa ya habari TBC nimestushwa na habari kuwa, Ongezeko la wagonjwa wa akili Tanzania ni kubwa ni kubwa sana na Mkoa wa Mtwara unaongoza kuwa na wagonjwa wa akili wengi 89.000 wanaopata tiba ni wagonjwa 15.000 tu, waliopona hawazidi 300, wagonjwa wa akili Tanzania ni sehemu ya jamii iliyotengwa, sijui Tanzania kuna mabingwa wa ngapi (PSYCHOPATHOLOGY, as the study of mental illness) itafika wakati Tanzania itakuwa nchi ya machizi watupu kama hatuna wataalamu wa magonjwa ya akili..
nawakilisha
 
mzee wataalam wa magojwa wa akili wapo sema sio wa kutosha kuweza kucover tanzania nzima, kuhusu lindi usishangae mwamko wa elimu ni mdogo sana, so mgonjwa ataangaishwa kwa waganga mpaka hali inapokuwa chronic ndio mtu anakumbuka kuwa kuna hospitali.
 
Niliwahi kwenda kufanya utafiti (wa nyumba kwa nyumba) ktk mikoa ya Lindi na Mtwara. Hali niliyoiona Lindi ni ya kusikitisha sana. Ilikuwa huwezi kutembea nyumba zaidi ya tatu bila kukutana na mgonjwa wa akili. Walikuwapo kila mahali, majumbani barabarani na kwenye migahawa. Kwa kweli lazima serikali ifanye utafiti wa kina ili kujua ni kwanini mikoa hiyo imeathirka zaidi.
 
Tatizo wamewekeza kwenye Ushirikina sana huko mtwara na lindi sasa hayo ndo matokeo
 
Mambo ya ushirikina ndiyo chanzo cha tatizo hilo (kwa mtazamo wangu)!!!! Kila kitu kikitokea kule utasikia FULANI KAMWANGALIA KWA JICHO BAYA!! Hata ukipiga chafya...lazima iwe associated na MKONO WA FULANI!!!!
 
Mtwara ni stronghold ya CCM! Kuwa makini....

Licha ya kuwa ni waumini wa ccm inawezekana kuwa maisha ni magumu kiasi kwamba wengi wanachizika kwa mawazo..wangeweza kusema no kwa ccm labda wangepunguza machizi miongoni mwao.
 
Jamani mi nimesoma na kukulia mtwara...ndiyo mtwara mjini..sasa hii kitu mi sijawahi kuexpirience hata kidogo,zaidi ni ile hospitali ya vichaa karibu na frelimo pale ligula, lakini ya kusema nyumba hadi nyumba...people b seriaz,huu ni uzushi..au labda ni mtwara vijijini. kama vichaa nahisi tanzania nzima wapo, wengine wapo hadi Ikulu, nipe takwimu ya vichaa waliokuwepo daslam na hao waliokuwepo mtwara, utaona tu!!waokota makopo daslam wapo wengi mno...vichaa!!
Si kila kitu mkisikia kwenye media ni cha kukishika...''changanya na za kwako''...usije kuwa kichaa!!
 
Sio mtwara peke yake,tanga nayo inaongoza kuwa na machizi.nimekaa tanga mjini,horohoro na vijiji vya wadigo kama moa,zingibari,petukiza,mtimbwan n.k.wenzetu hawaini tabu kukusomea albadiri kwa jambo dogo hata kama umeiba buku,kuchukuliana wake au kutembea na binti wa mtu hawaoni shida kukutupia majini.
 
Mimi nimetembea sehemu kubwa ya Tanzania, Iringa vijijini kuna machizi wengi sana na mbeya pia, ukienda Kilimanjaro ndio usiseme Kiboso machizi wengi sana, Machame ndio kiboko, Rombo machizi wengi ni wanawake sijui kwa nini
 
Mimi nimetembea sehemu kubwa ya Tanzania, Iringa vijijini kuna machizi wengi sana na mbeya pia, ukienda Kilimanjaro ndio usiseme Kiboso machizi wengi sana, Machame ndio kiboko, Rombo machizi wengi ni wanawake sijui kwa nini

Mi nawashangaa akina bujibuji, chatu dume hadi Rev..vichaa wamejaa tz nzima...haya angalia ushuhuda huo, wakazi wengi wa daslam wamepigwa na maisha wanaishia kuokota makopo...nchi gani duniani wakazi wake waokota makopo kama si tz pekeyake??Kama ni CCM usidanye!! hiki chama ndicho kinaongoza Tz nzima!!iweje UCCM ndio usababishe vichaa mtwara??kwahiyo huko kusiko na vichaa(sijui ni wapi kwa hii tz) hawaongozwi na CCM?? Haya maji taka haya!!
 
Mimi nimetembea sehemu kubwa ya Tanzania, Iringa vijijini kuna machizi wengi sana na mbeya pia, ukienda Kilimanjaro ndio usiseme Kiboso machizi wengi sana, Machame ndio kiboko, Rombo machizi wengi ni wanawake sijui kwa nini

umenichekesha! mm ni wa huko ACHA UONGO !nakubali kila mahali kuna machizi ila mtwara wamelogwa na Ccm ndo maana ni machizi sana
 
Ila mikoa ambayo Ccm imetawala sana kuna machizi sana Mtwara lindi pwani sehemu kubwa ya watu wao wamekaa kichizichizi sijui kwann?
 
Vichaa wapo kila sehemu!

Mkuu Katavi, tunakubali kuwa kila sehemu machizi wapo, kwa nini Mtwara Vichaa wamekuawa wengi zaidi tatizo ni nini? takwimu za serikali zinasema Mtwara inaongoza kwa magonjwa ya akili
 
Back
Top Bottom