Hivi kwa nini Mkoa wa Mtwara unaongoza kuwa na wagonjwa wa akili wengi 'machizi'

Ila mikoa ambayo Ccm imetawala sana kuna machizi sana Mtwara lindi pwani sehemu kubwa ya watu wao wamekaa kichizichizi sijui kwann?

Eee bana eeh ..omba radhi bana!!ushawaona watu wote wa mtwara mpaka uje na hii upuuzi wako huu??halafu nyie watu wa kaskazini mna kasumba sana!!mnadhani nyie mmepewa sana kuliko wengine ati??
 
Mkuu Katavi, tunakubali kuwa kila sehemu machizi wapo, kwa nini Mtwara Vichaa wamekuawa wengi zaidi tatizo ni nini? takwimu za serikali zinasema Mtwara inaongoza kwa magonjwa ya akili

Lete takwimu acha longolongo bana!!we ushaambiwa machame huko kunatisha,mbeya na sehemu nyingine...hivi nyie mnaishi wapi??vichaa wote wa daslam hamuwaoni??tena hawaendi hospital,wapowapo tu mtaani wasumbufu vibaya!! dah
 
Mkuu kuna Shirika lisilo la kiserikali linaitwa BASIC NEEDS. Asasi hiyo inafanya kazi na wagonjwa wa akili duniani, linashirikiana na serikali ya Tanzania, hiyo Asasi mpaka saizi imechukuwa wagonjwa 15.000 inawatibu huko Mtwara. wakishirikiana na serikali ya Tanzania ndio wametoa hizo takwimu nilizozitaja kwenye bandiko langu
 
Back
Top Bottom