Hivi kwa nini ccm haikubaliki mwaka huu

Hivi kwa nini ccm haikubaliki mwaka huu

Wapenda mabadiliko wote,wanataka mfumo mpya!Kwa maneno mengine malofa na wapumbavu kama alivyotupa jina mh.mkapa.mi binafsi nimelipenda jina hilo.

Mkapa alikuwa wa kwanza kuzindua kampein ya ukawa kwa kuwaita Watu malofa ilitosha kuwahamasisha kuichukia Ccm
 
Jibu Ni "Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania". Je wewe Unayo Hayo Maisha Bora?? Escrow,Epa, Twiga hai Kupanda Ndege,

Mabehewa ya Train,Mikataba ya Gas,Madini Mibovu,Operation Tokomeza, Uuzwaji Nyumba za Serikali. Uvunjifu wa Haki

za binadamu, Mauaji ya albino.... Endelea....
Mwaka wa mabadiliko nakumbuka Ndugu MKOSAMALI alisema watanzania mkiwachagua ccm mkapimwe akili aliona mengi na alisema kweli tupu
 
Toa sababu :1 Viongozi wa CCM hawa ambiliki
2 Miungu watu 3 Wanajuwa kila kitu 4 Wana dharau 5 Siyo wakweli 6 Hawana uadilifu 7Wanatumia madaraka vibaya 8 Wanajiona serikali ni wao 9Wanajifanya wao tu ndiyo wana haki ya kuishi 10 Vitisho......engezea

Wao wanaamini ni watawala wa tz
 
Pole sana naona u mhanga wa mahaba. Umepofushwa na hayo mapenzi yako kwa mtu kiasi cha kufikiri kila mtu anafikiri kama wewe ... Endelea kujidanganya kisha utakuja kulalamika kura zimeibiwa...

Pole wewe ambaye umeshindwa kusoma alama za nyakati kama matukio ya masaburi kutafuta vijana waandamane ccm kutoa mabango ya lowasa n.k,pima kwa akili ya kawaida afu useme nani muhanga
 
Back
Top Bottom