Hivi kwa nini ccm haikubaliki mwaka huu

Hivi kwa nini ccm haikubaliki mwaka huu

Msaranga

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2009
Posts
956
Reaction score
229
Nimejiuliza lakini sipati jibu kwa nini vijana chini ya miaka 30 hawaipendi ccm sijapata jibu.wazee tuu ndio wanaipenda
 
Kwa sababu imechokaaaaaa,Ndembendembe Nyang'anysng'a kifo cha mendeeeeeeeee chaliiiiiiiiiiiii.



Lowasaaaaaaa mabadilikooooooo

Mabadiliko Lowasaaaaaaaaaaaaaa
 
Ukiwauliza watu mtaani ,mama ntilie,bodaboda, wanachuo, walimu ,madakitari watakwambia mpango mzima ukawa
 
Mm pia ni kijana na nakili nikiwa na akili zangu timamu naichukia CCM kama ninavyouchikia umasiki,thread hii iwe ni pool kwa vijana ili tuangalie kwa juu juu tu ni wangapi hawaipendi Ccm.viva ✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽
 
Ukiwauliza watu mtaani ,mama ntilie,bodaboda, wanachuo, walimu ,madakitari watakwambia mpango mzima ukawa
Wapenda mabadiliko wote,wanataka mfumo mpya!Kwa maneno mengine malofa na wapumbavu kama alivyotupa jina mh.mkapa.mi binafsi nimelipenda jina hilo.
 
Jibu Ni "Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania". Je wewe Unayo Hayo Maisha Bora?? Escrow,Epa, Twiga hai Kupanda Ndege,

Mabehewa ya Train,Mikataba ya Gas,Madini Mibovu,Operation Tokomeza, Uuzwaji Nyumba za Serikali. Uvunjifu wa Haki

za binadamu, Mauaji ya albino.... Endelea....
 
Toa sababu :1 Viongozi wa CCM hawa ambiliki
2 Miungu watu 3 Wanajuwa kila kitu 4 Wana dharau 5 Siyo wakweli 6 Hawana uadilifu 7Wanatumia madaraka vibaya 8 Wanajiona serikali ni wao 9Wanajifanya wao tu ndiyo wana haki ya kuishi 10 Vitisho......engezea
 
hata huku jamii forum lowasa 90% wanamtaka makofuli 10% tuu ndio wanamtaka.anguko la ccm mwaka huu

Pole sana naona u mhanga wa mahaba. Umepofushwa na hayo mapenzi yako kwa mtu kiasi cha kufikiri kila mtu anafikiri kama wewe ... Endelea kujidanganya kisha utakuja kulalamika kura zimeibiwa...
 
Ukiwauliza watu mtaani ,mama ntilie,bodaboda, wanachuo, walimu ,madakitari watakwambia mpango mzima ukawa

Kitu usichokijua wahanga wa mahaba wanaogopesha na kutishia sana watu wanao ongea kitu tofauti na wanachosema wao . Matusi na zomea zomea imekuwa ndiyo njia yao ya kunyamazisha watu. Hivyo wengi wanaona ili is iwe tabu waongee tuu lugha yao kuepusha Shari lakini rohoni wanajua. Ndiyo maana huoni watu wakizungumza wala kuvaa sana mitaani kwa kushabikia CCM lakini mikutano inafurika na kutema..... Jidanganyeni mtashangaa October
 
Utawara bora ndani ya ccm ulimazika toka awamu ya pili ya rais mwinyi.
 
Hawaitaki CCM kwa kuwa wameshindwa kutekeleza ndoto zao, basi wangekuwa wakweli kuwa wameshindwa wakataja sababu, I'll wote tuwe na mjadala kuona jinsi ya kuenda mbele. Badala yake wana kuja na ahadi za kufanya mengine wakati Yale ya kwanza hawajatekeleza si ndio usanii huo. Watu wameshtuka. Bye by Chichiemu
 
Kweli nyerere alikua nabii ametabiri kifo cha ccm
 
Mm pia ni kijana na nakili nikiwa na akili zangu timamu naichukia CCM kama ninavyouchikia umasiki,thread hii iwe ni pool kwa vijana ili tuangalie kwa juu juu tu ni wangapi hawaipendi Ccm.viva ✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽

Pamoja kaka
 
Back
Top Bottom