Hivi kutongoza ni kipaji?

samahani jamani embu ni saidie, sifa gani ukiwa nazo unaonesha una mpini mkubwa?

Siku moja nilitembelea mitaa ya kinondoni makaburini kushusha uzito kidogo,niliyempata kabla hatujamalizana kwenye bei(maana nilikuwa nataka mkesha)akaniuliza huna kubwa lakini wewe.Nami nikamjibu wewe mfanyabiashara gani unaogopa mteja na umejuaje nina kubwa akanijibu si naona mavidole gumba ya miguu yako(maana nilikuwa na makubazi)na akaendelea na hayo mamidomo yako yalivyo makubwa ushahidi tosha,nikamwambia mimi wa kawaida tu na akanitahadharisha tukifika huko nikakuta ni kubwa na bei inaongezeka na wala hakukosea maana kweli bei iliongezeka .
 
Usihofu ukikutana na paka mweusi mie wala hutoniogopa tena utatamani uwe nami milele

Nikikutana na paka mweusi huwa nakemeaga kwa jina Yesu..halafu unavyojipaisha eti milele, hamna mtu aliyewahi kuwa na mtu mwingine milele dunia hii..ha ha ha:smile-big:
 
Wote mmechemka jamani na mie mwanamke nawashinda. siku hizi hakuna kutongoza, kaa kwenye gari hata ya kuazima vaa suti au nguo zenye majina basi umekwaa wadada enzi zetu bwana ukiona mwanaume yuleeee mbio kuelekea nyumbani kam ani mtoni mpaka usindikizwe. kweli utandawazi upo

Ila sasa kuna kasheshe moja kwamba siku hizi hakuna usumbufu kwenye kupata hayo mambo. tayari kuna wale wanaofanya bishara yao wewe ukiwa na dola zako huulizi unashika mkono tu.

Yaani nakuunga mkono 100%, these days hakuna kuumiza kichwa unaomba tu namba ya simu, ukimtangia umemaliza mchezo. zamani watu walikuwa wanasote mwaka mzima kumpata demu bana. kuna my bro alikuwa mtaalaam balaa, we acha tu siku hizi hakuna mafundi wa kuimbishaaa, mambo yamerahisishwa mno.
 
OMG!
Dont turn the hands of my age-counter anticlockwise!
Haya mambo mi niliyafanya kizamani zaidi, hata sijui siku hizi mnatongozaje!...Lakini nina vijana jirani na kwangu wakimwambia msichana."MAMBO?...Sasa inakuwaje?", ndo wanakuwa washamaliza khabari yote!...huh!
Hakuna ufundi hapo, sifa ni ujue kuongea..basi!

Nahisi Paka Jimmy karibu utakuwa mwehu, hizi comment zako mie hoi! Okay well and good Dude! keep it up
 
mmmh!hongera NN, mi wananiogopa!wanasema umbo langu linaonyesha nina mpini mkubwa!

Haahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Bacha itabidi niombe gemu siku moja na wewe ili niuone huo mpini :becky:
 
Aisee nakumbuka enzi niko secondary na chuo nilikuwa natamani sana kutongoza. Lakini cha ajabu ilikuwa nashindwa kuanza, na nilipojitutumua basi tena hadi jasho linakuwa linanitoka (kwa hofu). Lakini nilikuwa nashangaa kuna jamaa zangu wao ilikuwa easy kweli yani mkikutana na demu, akitoa tu salamu tayari inakuwa na mwelekeo wa kutongoza na akitaka kumtongoza basi inakuwa kirahisiiiiiiii. Ila mi ilikuwa ngumu aisee...

Ila kwa sasa nashukuru nimegundua mbinu... siumizi kichwa... ni pasi moja ndefu hadi golini... Yaani nikimtaka demu ni kumsalimia kisha naenda moja kwa moja to the point ...aisee Mshiki nimekufeel sana natamani unipe hapo hiyo kitu yako, Unasemaje... Then from there inabaki tu kusisitiza maana nimeshatamka shida yangu.

Ila mi naona kutongoza ni kipaji aisee...

Inawezekana ikawa ni ulemavu pia......aisee:eyebrows::lol:
 
Haahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Bacha itabidi niombe gemu siku moja na wewe ili niuone huo mpini :becky:

Karibu Lisa,usihofu!natumaini wewe unaweza ukauvumilia!
 
Aisee nakumbuka enzi niko secondary na chuo nilikuwa natamani sana kutongoza. Lakini cha ajabu ilikuwa nashindwa kuanza, na nilipojitutumua basi tena hadi jasho linakuwa linanitoka (kwa hofu). Lakini nilikuwa nashangaa kuna jamaa zangu wao ilikuwa easy kweli yani mkikutana na demu, akitoa tu salamu tayari inakuwa na mwelekeo wa kutongoza na akitaka kumtongoza basi inakuwa kirahisiiiiiiii. Ila mi ilikuwa ngumu aisee...

Ila kwa sasa nashukuru nimegundua mbinu... siumizi kichwa... ni pasi moja ndefu hadi golini... Yaani nikimtaka demu ni kumsalimia kisha naenda moja kwa moja to the point ...aisee Mshiki nimekufeel sana natamani unipe hapo hiyo kitu yako, Unasemaje... Then from there inabaki tu kusisitiza maana nimeshatamka shida yangu.

Ila mi naona kutongoza ni kipaji aisee...

Kwa style hiyo utakuwa unakutana na wanaojiuza. Nafikiri jibu unalopewa ni "UNA SHILINGI NGAPI?"
Huko sio kutongoza; ni huwa napenda nimwimbishe dem hadi yeye sasa ndo aanze kunifuatilia ikiwa nimechelewa kumpa mambo.
 
Sometimes kukubaliwa na madem tofauti nahisi kama ni pepo fulani hivi! Imenitokea mara kama nne hivi; nakaa na kampani ya washkaji wenye pesa zaidi ya mimi, mnastarehe, mnahama viwanja; mwisho wale wenye kutaka kutongoza wanajaribu wanakataliwa; mimi bila kumtongoza dem, nashtukia naanzishiwa ukaribu at the end - NABEBA MZIGO.
 
Basi nyie wote hamjui maana ya kutongoza, huko si kutongoza bali ni KUTAKA!!!!

Sijaona mtongozaji hata mmoja humu bali WATAKAJI ndio mpo wengi
 
hujaawahi tongozwa humu?

kutongozwa, nimetongozwa sana tu... Na kila mtu anakuja na gia yake, sasa wewe uje na gia ya kuniambia eti ''nipe bas hicho kitu'' kwanza nitakuona kama umenikosea adabu.. Na jibu utakalo pata, utaenda kunyamazishwa na nyanya ako.
 
Back
Top Bottom