Kuna teacher mmoja wa kiume wakati nipo A level, alisafiri kwenda kwa gf alikuwa mkoa mwingine ile kurudi love bite kibao mmh
Nimekuwa napata wakati mgumu sana wa kulielewa hali, mara nyingi napishana na mabinti wa rika la kuanzia 16- 20's hivi kwa kadilia wakiwa nayo shingo. Najiuliza hivi hawaoni aibu kuonekana umefanya uzinzi??, majumbani mwao wanawaonaje??. Kwa wanaume mbona wao ni baadhi sana tena married men, eti baadhi wanasema bf wanafanya hivyo as a sign hata akienda kucheat kwingine ashindwe kwenda.
Ila binafsi napenda nikimuona wanaume na love bite ila kwa wadada mmh!!!
ina raha zake !! wewe utajuaje km bint alikuwa na wake wakati unamsarandia?kama nini????
love bite ndio vitu gani?
Hata thijaelewa!
Hyo love bite ndo wadudu gan
Hebu tuelimishane hayo ma-bite...
Raha sana tena napendaaa maana inaonesha kama..........
Love bite, A hickey, kiss mark, love bite, or bug bite is a bruise or bruise like mark caused by the kissing or sucking of the skin, usually on the neck or arm. While biting might be part of giving a hickey, sucking is sufficient to burst superficial small blood vessels under the skin.mmh i dont believe guys kama hamjuii hii au hamjawahi date wanawake weupe kidding. Anyways ni ile watu wapo wanafanya yao then wanang'atana shingoni
kama nini????