Hivi kutangaza nia ni dhambi?

Hivi kutangaza nia ni dhambi?

mdeki

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
3,299
Reaction score
477
Siku hizi mtu akisema atagombea nafasi yoyote basi inakuwa nongwa kwanini lakini wakati ni haki ya mtu kikatiba? Wadau hebu naomba mnieleweshe hasa wale wachambuzi wazuri wa siasa najua mko humu ndani.
 
Jiuleze kama kwenu kuna msiba utatangaza kwamba unataka kuoa au utasubiri wakati muafaka ndio utangaze nia yako?

Kila jambo lina wakati wake tuna mambo ya msingi ya kufanya kwa sasa zaidi ya kusikia watu wenye nia zao wakitoa matamko kila leo
 
Ukiwa na mgombea wako kichwani kwako, akajitokeza mwingine ambaye unaona ataleta upinzani kwa yule mgombea wako, basi utaona kuwa ni dhambi kubwa mtu mwingine kutangaza nia ya kuomba nafasi hiyo.

Binaadam kwa asili yake ni mnafiki hapendi DEMOKRASIA hata ajidai vp kuipenda ni unafiki tu. na hili hujitokeza kwenye jambo kama hili. mf; CDM inajitabanaisha kwamba mambo yake kwa kiasi fulani ni kupinga mabaya yote yafanywayo na chama hicho kwa wananchi, na mmoja wa viongozi wakuu wa chama hicho alihama CCM Kwa kuona DEMOKRASIA haikutumika kumuengua kugombea ubunge.

lkn baadhi sasa wanachama au mashbiki wa chama hicho kupitia humu kwenye hii forum ni wapinzani wakubwa wa DEMOKRASIA wanataka kuburuza wengine, mawazo yao ndiyo ya WATANZANIA WOOTE. misingi ya chama haina nafasi teena kwao lkn ni wa kwanza kuipigania haki,haki ipi? sasa wakati hii unaipuuza kwa ajili ya ushabiki wako tu.
 
Joseph unajua ni vizuri kuomba ushauri kwakua jimboni kwetu kuna watu wana nongwa sana nahitaji ushauri wa kitaalamu hasa hapa jf
 
Siku hizi mtu akisema atagombea nafasi yoyote basi inakuwa nongwa kwanini lakini wakati ni haki ya mtu kikatiba? Wadau hebu naomba mnieleweshe hasa wale wachambuzi wazuri wa siasa najua mko humu ndani.

subiri utangazwe na mwenyekiti wa chama
 
Hili jambo huwa nashindwa kulielewa kwamba mtu wa tofauti wa mikoa ya kaskazini hatakiwi au inakuwaje maana nimeshasikia zaidi ya mara moja humu jf na baadhi ya viongozi CHADEMA wakimtaja Dr. Slaa kama ndo mgombea wa 2015,Ila Zitto akisema nataka kugombea urais anaambiwa anavuruga chama. Hadi mzee Mtei aliongea lakini km wiki zilizopita Mbowe kamtaja Dr. Slaa alisifiwa kweli kwa busara.

Hivi tatizo nini?kugombea uongozi ni haki ya kila mmoja kwanini Zitto inakuwa nongwa ?
 
hili jambo huwa nashindwa kulielewa kwamba mtu wa tofauti wa mikoa ya kaskazini hatakiwi au inakuwaje maana nimeshasikia zaidi ya mara moja humu jf na baadhi ya viongozi cdm wakimtaja dr slaa kama ndo mgombea wa 2015,hla zito akisema nataka kugombe urais anaambiwa anavuruga chama hadi mzee mtei aliongea lakini km wiki zilizopita mbowe kamtaja dr slaa alisifiwa kweli kwa busara,hv tatizo nini?kugombea uongozi ni haki ya kila mmoja kwanini zitto inakuwa nongwa ?

kwa sababu anavunja katiba ya nchi iliyopo maana hata uchaguzi ukifanyika leo hawezi kugombea
 
Hivi ukisha mjua mke wako anatumika, utakuwa na imani naye tena?
 
Hana uwezo wa kuwa Rais, anatangaza ili kuwafuruga watu

chezea mtu aliyepitwa na umeme wa Magamba
 
there are scores of reasons, lakini kwamba hana uwezo hiyo haimo katika mlolongo huo wa sababu!
 
Tutajie mwingine aliyetangaza nia (amejitangaza yeye mwenyewe) na watu wakakaa kimya.
 
hili jambo huwa nashindwa kulielewa kwamba mtu wa tofauti wa mikoa ya kaskazini hatakiwi au inakuwaje maana nimeshasikia zaidi ya mara moja humu jf na baadhi ya viongozi chadema wakimtaja dr. Slaa kama ndo mgombea wa 2015,ila zitto akisema nataka kugombea urais anaambiwa anavuruga chama. Hadi mzee mtei aliongea lakini km wiki zilizopita mbowe kamtaja dr. Slaa alisifiwa kweli kwa busara.

Hivi tatizo nini?kugombea uongozi ni haki ya kila mmoja kwanini zitto inakuwa nongwa ?
hivi lini dr slaa katangaza kugombea urais 2015?
 
Hana uwezo wa kuwa Rais, anatangaza ili kuwafuruga watu

chezea mtu aliyepitwa na umeme wa Magamba

Kwa wanasiasa wa Tanzania tukubali kuwa hakuna mwenye uwezo kwani hakuna asielishwa umeme wa CCM na kuna wengine maboksi ya umeme huo wanayaweka, sijui kama trophy au yanaweza yakawa na faida baadae?
 
Hili jambo huwa nashindwa kulielewa kwamba mtu wa tofauti wa mikoa ya kaskazini hatakiwi au inakuwaje maana nimeshasikia zaidi ya mara moja humu jf na baadhi ya viongozi CHADEMA wakimtaja Dr. Slaa kama ndo mgombea wa 2015,Ila Zitto akisema nataka kugombea urais anaambiwa anavuruga chama. Hadi mzee Mtei aliongea lakini km wiki zilizopita Mbowe kamtaja Dr. Slaa alisifiwa kweli kwa busara.

Hivi tatizo nini?kugombea uongozi ni haki ya kila mmoja kwanini Zitto inakuwa nongwa ?
Mbowe hajamtaja mgombea yeyote, bali amesema yeye hatagombea.
 
hivi lini dr slaa katangaza kugombea urais 2015?

Na lini alikataa? Ubaya wenyewe unakuja kuwa unakasirika mmoja kujitangaza lakini unaamuwa kumtangaza mwengine huku ukijuwa kuwa mna utaratibu maalum.
 
Yule si anatumika na ccm babu! Unategemea nini kama chadema wakimsimamisha?
 
Hivi tatizo nini?kugombea uongozi ni haki ya kila mmoja kwanini Zitto inakuwa nongwa ?

Tatizo CHADEMA ina wenyewe wenye hisa zao katika kukianzisha.
Kwani ulikuwa hujui kuwa Mzee Mtei baada ya kuondoka amemuachia mkwe wake kama mwenyekiti? Na kwa taarifa ni kwamba mwenyekiti ameshaamua mgombea wa 2015 atakayepinga atakiona cha moto. Kuna ushauri kwamba CDM ibadilishwe jina kiitwe chama cha Maendelona kiache kutumia neno Demokrasia kwenye jina lake.
 
Hili jambo huwa nashindwa kulielewa kwamba mtu wa tofauti wa mikoa ya kaskazini hatakiwi au inakuwaje maana nimeshasikia zaidi ya mara moja humu jf na baadhi ya viongozi CHADEMA wakimtaja Dr. Slaa kama ndo mgombea wa 2015,Ila Zitto akisema nataka kugombea urais anaambiwa anavuruga chama. Hadi mzee Mtei aliongea lakini km wiki zilizopita Mbowe kamtaja Dr. Slaa alisifiwa kweli kwa busara.

Hivi tatizo nini?kugombea uongozi ni haki ya kila mmoja kwanini Zitto inakuwa nongwa ?
mkuu sijawahi kusikia dr slaa akisema anataka kugombea urais,labda wadau wanikosoe hapa. Usipende kusema uwongo kwa umri wako huo!
 
Back
Top Bottom