Hivi kuna Wilaya inaipiku Liwale kutotembelewa na Viongozi wa Kitaifa?

Mkuu em usikurupuke elewa kwanza mwandishi kaandika nini na ww umejibu nini?

Ukiachana na barabara ulizozitaja mwandishi wa Uzi kalenga hasa Ziara ya viongozi wakuu wa nchi kutotembelea baadhi ya wilaya..

Sjawahi kusikia ata enzi za JPM au kiongozi mkubwa yeyote afunge safari aende maeneo kama Ilongero, mtinko, sepuka, mkenge, ikiwu, ughandi, minyenye, ikhanoda, kisisi, mwakiti, mdida, msange, etc watu wa maeneo haya wanaishi kama wapo kwenye Dunia yao maji shida, umeme shida, barabara shida kidgo mtinko na ilongero kuna umeme ila maji kipindi cha kiangazi ni shida Leo ww unakuja kuzungumzia barabara za kuunganisha mikoa.

Barabara nyingi zinazounganisha mikoa ni za lami karibu Tanzania nzima. Wew unaejifanya unaijua geography umeshindwa hadi kujua kuwa barabara ya SINGIDA_DoDOMA haipo kwenye wilaya ya singida vijijini ipo wilaya ya manyoni?

Mm naongea kwa experience mkuu mana huo mkoa nimeutembea sana
It is pathetic that you think that way, ziara za viongozi ndiyo maendeleo kwako?
Mipango ya REA kusambaza umeme, RUWASA maji vijijini, TARURA kuunga hizo barabara za lami kuingia ndani mpaka viongozi wa kitaifa watembelee?
Unasemaje Wilaya ya Manyoni ndio pekee ipo along Dom to Singida road, better go back to your geography class.
All in all mendeleo hayaletwi na ziara za viongozi wakuu wa kitaifa bali viongozi wa wananchi ngazi za chini kuwahold accountable watendaji wa Serikali wakisaidiana na wawakilishi Kama wabunge na madiwani.
 
Accountability ya watumishi inahitaji close supervision ya viongozi wao wa juu, otherwise mambo hua shagalabagala. Ziara za viongozi wa juu kwenye maeneo ya utendaji sio za kubezwa bali zina mchango mkubwa ktk kuchochea uwajibikaji. By the way wanawezaje kuwawajibisha watendaji kama hawawafuatilii?? Ripoti nyingi siku hizi zinapikwa, hazina uhalisia hivyo kiongozi aki rely kwenye ripoti watanzania tynapigwa pakubwa sana..!!
 
Government machinery unaijua? Jiulize kwa nini Rais mstaafu wa USA Obama alipofanya ziara Africa alisema katika hotuba yake pale University of Witwatersrand SA kuwa tatizo la Africa ni kutafuta stong leaders instead of strong institution. The same was echoed by the late president Mkapa alipokuwa Rwanda kwenye forum ya former presidents. Make the system work and forget the rhetoric.
 
Tanzania kuipigia mifano na USA kwenye haya maswala ni kuionea. Ni baina ya mashariki mbili...! Kwa mfumo wa utawala wa Tanzania na hali ya kiuchumi ilivyo viongozi kuzuru mara kwa mara watendaji wao ni jambo lenye tija. Hatuna institution imara kiasi hicho cha kuwategemea hawa wa chini waendeshe mitambo...! Tutapata hasara
 
Botswana wamewezaje?
 
Ni matumaini yangu mu wazima..!?

Hizi wilaya zetu pamoja na changamoto za miundombinu ya barabara kuna ulazima wa viongozi wa kitaifa kufanya ziara ikiwezekana mara baada ya mara. Lakini hali ikiwa hivi kama ilivyo huko wilayani Liwale inaleta shida katika utendaji wa baadhi ya watumishi wa ngazi za juu katika halmashauri. Hufanya kazi kiholela kwa kujua viongozi hawawezi fika huko...!

Jambo hili ni huko Liwale tu au kuna wilaya zingine zina changamoto hii??
Ni changamoto na zile lami zenu mlizo wekewa kimagumashi balaa
 
Sikonge ni wilaya kinara Tanzania tangu uhuru 1961.
Tabora wabaya sana mlichomfanya PIMA hiyooo
Hadi kua mwinjilisti simchezo kutoka
Waziri tamisemi
Alitaja sana tarakimu zafedha zilienda halmashauri nchizima hadi skonge(namba hewa au kweli)

Mkuu wamkoa tabora
Sijui alikua anajisikiaje miaka karibu kumi anatumaga pesa namaendeleo hakuyakuta

UONGO DHAMBI
Nafsi imemsuta biblia imekumbukwa

Tabora wabaya sana

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Ni matumaini yangu mu wazima..!?

Hizi wilaya zetu pamoja na changamoto za miundombinu ya barabara kuna ulazima wa viongozi wa kitaifa kufanya ziara ikiwezekana mara baada ya mara. Lakini hali ikiwa hivi kama ilivyo huko wilayani Liwale inaleta shida katika utendaji wa baadhi ya watumishi wa ngazi za juu katika halmashauri. Hufanya kazi kiholela kwa kujua viongozi hawawezi fika huko...!

Jambo hili ni huko Liwale tu au kuna wilaya zingine zina changamoto hii??
Nimeskia VP Dr. Ph. M yupo mkoani Mtwara. Angepitia na Liwale ingekaa njema sana akaacha historia
 
Ndyo ni kweli kabisa kwamba ziara za viongozi wa serikali znachochea maendeleo kwa kiasi kikubwa kwani viongozi wanapata kukumbana na difficulties moja kwa moja kama ubovu wa bara bara, uhaba wa maji na miundo mbinu zingine..

Usile geography yako ya Ku google hapa tembea sehemu uwe na mawazo chanya
It is pathetic that you think that way, ziara za viongozi ndiyo maendeleo kwako?
Mipango ya REA kusambaza umeme, RUWASA maji vijijini, TARURA kuunga hizo barabara za lami kuingia ndani mpaka viongozi wa kitaifa watembelee?
Unasemaje Wilaya ya Manyoni ndio pekee ipo along Dom to Singida road, better go back to your geography class.
All in all mendeleo hayaletwi na ziara za viongozi wakuu wa kitaifa bali viongozi wa wananchi ngazi za chini kuwahold accountable watendaji wa Serikali wakisaidiana na wawakilishi Kama wabunge na madiwani.
 
Ni matumaini yangu mu wazima..!?

Hizi wilaya zetu pamoja na changamoto za miundombinu ya barabara kuna ulazima wa viongozi wa kitaifa kufanya ziara ikiwezekana mara baada ya mara. Lakini hali ikiwa hivi kama ilivyo huko wilayani Liwale inaleta shida katika utendaji wa baadhi ya watumishi wa ngazi za juu katika halmashauri. Hufanya kazi kiholela kwa kujua viongozi hawawezi fika huko...!

Jambo hili ni huko Liwale tu au kuna wilaya zingine zina changamoto hii??
Ushetu!!!!!!
 
Back
Top Bottom