Uzuri hawana jipya, wahenga walisema "ada ya mja hunena, muungwana ni kitendo" 🤣🤣Mkuu pole kwa matusi yote utakayo pata😂😂 naamini akina erthrocyte.bujibuji.BAK.salary slip nk hawatakuacha hivihivi bila matusi kuntu coz ukweli unauma ja hawa ndugu zako hawapendi ukweli😂😂
Mimi nilisimamia uchaguzi, kituo changu matokeo yalikuwa hivi, Tundu Antipas Lissu kura 79 Magufuli kura 31 lakini matokeo yalibandikwa Tundu Antipas Lissu kura 6 Magufuli kura 370 . hapakuwa na uchaguzi ilikuwa ni ujinga tu.
Hakuna binadamu anayejielewa anayeweza kukipenda chama kinacholiombea taifa majanga na kushabikia matatizo yanayotokea
Shule kufanya nini, mbona huyo jamaa yenu anaejiiita msomi wa sheria ameishia kukizika chama chenu kwa kuleta kambunge kamoja tena kakule kijijini sigimbi halafukatimukia ugaibuniii. Alidhani kero za wabongo ni zile kiki za ushuhuda wakee
Kweli kabsa,ndomana mwenyekit aliwananga wale waliokumbwa na tetemeko
Luna msomi gani tapeli mkubwa yulee kanjanja?Msomi atabaki msomi tu,hawezi kuitwa msomi kwa sababu ya ww nguchiro
Joined JF oct-28-2020, for special purpose- To discredit Chadema. Poor Lumuba wildebeest
Umemuonea, huyu siye aliyeleta juu uzi (halafu mama yake haya hayamuhusu ).KLMK ulitaka tumuamini mama wa familia yako ?
Kwa conditions zipi? Mbona hujasema iwapo kutakuwa na tume huru, katiba mpya nk?Namaanisha kuna watu wanaamini kuwa Lissu angekuwa Rais na Mbowe awe waziri mkuu kama alivyosema kuwa atakuwa waziri mkuu ndani ya saa 72 na akina sugu na Msigwa na Lema nk wawe mawaziri?
Khaa, hebu wakati mwingine tuwe serious. Kwasasa hakuna chama cha upinzani kinachoweza kushika dola hakipo. Vyama vya upinzani vilivyopo ni vya wasakatonge na wahuni tu. CCM inaendelea kuwa chama bora na smart hasa ktk kipindi hiki cha awamu ya 5.
Nyendo za Mh Magufuli zinanikumbusha kipindi cha Mwalimu, kiongozi aliyetamani kuona tukijitegemea kiuchumi, hakika JPM wewe ni Rais wapili smart baada ya JKN
Luna msomi gani tapeli mkubwa yulee kanjanja?
Lete uthibitisho wa hicho unachokisema. Yaani meza ipinduliwe kiasi hicho halafu mkae kimya labda kama mlihongwaMimi nilisimamia uchaguzi, kituo changu matokeo yalikuwa hivi, Tundu Antipas Lissu kura 79 Magufuli kura 31 lakini matokeo yalibandikwa Tundu Antipas Lissu kura 6 Magufuli kura 370 . hapakuwa na uchaguzi ilikuwa ni ujinga tu.
Nani kadanganya? Mumevurugwaa, mumeishia kuwakandamiza akina mama hovyo kabisaa. Waachenii wakina mama waende bungeniii, acheni mfumo dumeeKumbe!!vp hawa wanaowadanganya kwa zaid ya nusu karne sasa???
Namaanisha kuna watu wanaamini kuwa Lissu angekuwa Rais na Mbowe awe waziri mkuu kama alivyosema kuwa atakuwa waziri mkuu ndani ya saa 72 na akina sugu na Msigwa na Lema nk wawe mawaziri?
Khaa, hebu wakati mwingine tuwe serious. Kwasasa hakuna chama cha upinzani kinachoweza kushika dola hakipo. Vyama vya upinzani vilivyopo ni vya wasakatonge na wahuni tu. CCM inaendelea kuwa chama bora na smart hasa ktk kipindi hiki cha awamu ya 5.
Nyendo za Mh Magufuli zinanikumbusha kipindi cha Mwalimu, kiongozi aliyetamani kuona tukijitegemea kiuchumi, hakika JPM wewe ni Rais wapili smart baada ya JKN
Matusi ya nini mkuu? Samahani kukuambia kuwa kama wewe ndiye sampuli sahihi ya wana CCM (representative sample), basi CCM ni ya watu wa hovyo.Namaanisha kuna watu wanaamini kuwa Lissu angekuwa Rais na Mbowe awe waziri mkuu kama alivyosema kuwa atakuwa waziri mkuu ndani ya saa 72 na akina sugu na Msigwa na Lema nk wawe mawaziri?
Khaa, hebu wakati mwingine tuwe serious. Kwasasa hakuna chama cha upinzani kinachoweza kushika dola hakipo. Vyama vya upinzani vilivyopo ni vya wasakatonge na wahuni tu. CCM inaendelea kuwa chama bora na smart hasa ktk kipindi hiki cha awamu ya 5.
Nyendo za Mh Magufuli zinanikumbusha kipindi cha Mwalimu, kiongozi aliyetamani kuona tukijitegemea kiuchumi, hakika JPM wewe ni Rais wapili smart baada ya JKN
Mkuu kama kweli we ni mtanzania hongera sana.Mh, urongo mtupu, hamkubaligi kushindwa since multiparty imeanza, kituo gani hicho, mbona hamkukishtaki kituo, mm kituo Changu na around the area, lisu wenu amepigwa mchana kweupe.