Hivi kuna watu wana apply chuo kusoma Education?

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
15,331
2,000
Sijui labda mimi ndio sielewi!

Serikali ndiye mwajiri mkuu wa walimu, na serikali haitoi ajira (ukiacha zile za kisiasa zilizo tangazwa juzi)

Bado najiuliza,

Umesoma arts na unakaa kwenye PC kujaza chuo kuomba kusoma ualimu.

Ni lazima mfike sehemu mjue suala sio uonekane umeenda chuo!

Ajira za uhakika kama ilivyo kuwa kipindi cha JK hakuna tokea 2015 lakini wewe uko busy ku apply education tena arts!!

Wenzako wako mtaani mwaka wa 5 huu na hawana ajira lakini wewe upo tu unajaza BA Education!!

Mbaya zaidi Magu aendelee mpaka 2025!!

Daah nakuonea huruma kweli kweli yani!!
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
18,830
2,000
Hapana hakuna anayeomba kusomea ualimu. Aliyekuambia amekudanganya ulichosikia na kuona vyote ni uongo.

Unashauri wajaribu forex?
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
15,331
2,000
Nakupima naona you are a low minded fellow. Pardon my French, ila acha ujuaji bro jamaa kaandika ila naona unabwabwaja
Nilimkosoa jamaa baada ya yeye kunikosoa kwamba nimekosea kuandika heading!

Nilitaka kumuonyesha kwamba hamna mtu anakosea kwa kupenda hata yeye anaweza kukosea.

Mbaya zaidi na wewe hujajua tumeanzia wapi ukadandia mada na kuniambia mimi ni mjuaji!!

Sasa sijajua mjuaji ni mimi au yeye.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Oct 15, 2019
65
125
Sijui labda mimi ndio sielewi!

Serikali ndiye mwajiri mkuu wa walimu, na serikali haitoi ajira (ukiacha zile za kisiasa zilizo tangazwa juzi)

Bado najiuliza,

Umesoma arts na unakaa kwenye PC kujaza chuo kuomba kusoma ualimu.

Ni lazima mfike sehemu mjue suala sio uonekane umeenda chuo!

Ajira za uhakika kama ilivyo kuwa kipindi cha JK hakuna tokea 2015 lakini wewe uko busy ku apply education tena arts!!

Wenzako wako mtaani mwaka wa 5 huu na hawana ajira lakini wewe upo tu unajaza BA Education!!

Mbaya zaidi Magu aendelee mpaka 2025!!

Daah nakuonea huruma kweli kweli yani!!
Kwani programs (kozi) nyengine wanaajiriwa? Kila sehemu ndio hivyo hivyo la muhimu mtu asome anachotaka lakin awe na uwezo wa kujiajiri na kusoma kitu flan haimaanisha utafanya kazi ktk hiyo field. Fikiria zaidi
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
7,961
2,000
Magufuli na sera zake za hovyo ataondoka, elimu ya mtu itabaki na kuwa msaada daima.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom