Hivi kuna uwezekano Shetani alionewa?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
41,021
Reaction score
47,109
Hivi leo hii kama baba yako aka-adopt mtoto mwingine ambaye ni yatima then akakuamrisha uwe mtumishi wake wa kumpikia, kumfulia n.k.., then ukagoma na kutupwa ukajitafutie mtaani..,

Then kwa hasira ukawa unafanya kila hila kumkosanisha mtoto yule na baba yako ili na yeye apate adhabu kama unayoipata wewe..
Hiyo imekaaje.., utaichukuliaje hali hiyo.., Em' tusaidiane hapa..
 
Mkuu hii mambo ukiitafakari kwa undani inachanganya sana,jamaa ana hasira sana juu ya alichofanyiwa lakin kaahidiwa moto.
 
Satan was first described to
love God and to be in the
service of God. Satan later
dared to disobey God. The "all-
knowing" God did not destroy
Satan. For God's pleasure, God
kept Satan around for a Chess-
like competition with human
lives and souls at stake.
The US Government has
adopted that God model as
evident when it orders its
soldiers and citizens to kill or
die to protect its interests and
to fulfill its self-serving
agendas.
Throughout their insane, evil
competition, as first
documented in JOB 2, God
maintained authority and
control over Satan. God has
remained in charge and
responsible for any
destruction and evil that Satan
may have carried out on
mankind. The true evil, behind
the scenes, is God Himself.
Isaiah 45:7 I, the Lord, make
peace and create evil.
Micah: 2:3 God said: I am
planning against this race an
evil…
Malachi 2:2-3 The Biblical God
said: I will send a curse upon
you. I will curse your blessings.
Yes, I have cursed them
already. Behold, I will corrupt
your seed and spread dung
(shit) upon your faces...
Hosea 13:16 Samaria has
rebelled against God. They shall
fall by the sword, their little
ones shall be dashed to pieces,
their expectant mothers shall
be ripped open.
Lamentations 3:38 Is it not
from the most high that good
and evil come?
Amos 3:6 Shall there be evil in a
city; the Lord hath not done it?
The Bible documents C&V that
God creates evil and
imperfection. You do believe
what is documented C&V in the
Bible - don't you?
God's cheerleaders / Biblically
ignorant believers insist that
"evil" Satan spoils "good" God's
perfect world.
Insecure / frightened people
wanted hero-models to save
them. The Judeo-Christian
religions created / invented a
fictitious "good" God and later a
fictitious "evil" Satan to
become slaves to. Believers
tend to run their
"emotional" (do want - don't
want) lives in the same
manner. Believers impose
themselves on others to
support and assist them
concerning their do wants
and don't wants.
To be a believer in this God-
Satan insanity, you have to be
in agreement with what you
believe. I personally do not
believe in nor am I in
agreement with the Biblical
God character - fictitious or not.
 
Controversial idea hapa...
Biblical kwa kuwa tumefundishwa kwamba Mungu ni mwenye haki na kwamba maamuzi yake hayastahili kupingwa na ama kuhojiwa na mamlaka nyingine basi suala la shetani, uhusiano wake na Mungu kabla ya kuasi, na baada ya kuasi na adhabu aliyopewa nadhani ni sahihi kabisa kwanza alistahili kutiwa kiberiti kabisa....

Hiyo ni ufafanuzi kulingana na kichwa chako cha habari ila kwenye main boby nina mtazamo tofauti kidogo....

Huyu baba ni baba mwenye msimamo thabiti, kwamba alimwadopt huyo mtoto mwingine ili amlee sawa na mwanaye ila kutokana na kuchukizwa na mienendo ama tabia za kionevu za mwanaye akaamua kumpa adhabu ya kuwa kijakazi wa kumhudumia mtoto wa kuasili,labda lengo likiwa ni kujaribu kumfunza...

Baada ya kushindwa kuwa kijakazi na kufukuzwa ili akajitafutie mtaani, kitendo cha kufanya hila za kumkosanisha huyu mwana wa kuadopt na baba yake si cha kiungwana, ni cha kiuoga na cha kulaaniwa kwa kiwango kikubwa..

N.B... Kama mtoto wa kuasili aliyetumiwa kwenye maada hii ni Yesu na wa Mungu ni Shetani(kabla ya kuasi) nadhani ni wazo binafsi tu la mwanzisha mjadala (kwa kuwa hakuna mahali popote palipoainishwa hivyo) na lengo lake analijua mwenyewe!
 
Huu mlinganyo ni mkali sana, ngoja niudadavue

y=x+z+c

c=0
x=mtoto wa ndani
z= aliyeadoptiwa

Assumptions
Baba kachizika akakufanya mtumishi?
x ametupwa nje ya ulingo
x kaanza fitna

Under what sakamstansis these assumptions will hold?
 

mkuu, according to my understanding.. naona umekosea kidogo kufanananisha ile incident iliyotokea mbinguni na huo mfano uliotoa hapo. Mimi ni Mkristo, na hiki ndicho ninachoamini, shetani hakuonewa hata kidogo.

"Hivi leo hii kama baba yako aka-adopt mtoto mwingine ambaye ni yatima...", mkuu, Yesu(mtoto yatima-according to your story) hakuwa adopted au hakuletwa kwa namna yoyote ambayo shetani hakuielewa bali aliumbwa kama viumbe wengine wote wa mbinguni, tofauti ilyopo ni kwamba Yeye ni wa kwanza (na hii ni moja ya sababu nyingi zinazomfanya awe Superior).

"
then akakuamrisha uwe mtumishi wake wa kumpikia, kumfulia n.k.. then ukagoma na kutupwa ukajitafutie mtaani.." Yehova, Mwenyezi Mungu, hakuwahi kumuamrisha shetani amtumikie Yesu kwa namna yoyote ile, kilichomtoa shetani kule mbinguni ni mawazo yake mabaya ya kujifananisha na Aliye Juu.
Isaya 14:13 -
Nawe(shetani) ulisema moyoni mwako, Nitapanda mpaka mbinguni, Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; Nami nitaketi juu ya mlima wa mkutano, Katika pande za mwisho za kaskazini. [FONT=Georgia, Times New Roman, Times, serif]Nitapaa kupita vimo vya mawingu, Nitafanana na yeye Aliye juu.

na response aliyoipata kutoka Mungu ni - "
[/FONT]
Lakini utashushwa mpaka kuzimu; Mpaka pande za mwisho za shimo. " Isaya 14:15

[FONT=Georgia, Times New Roman, Times, serif]kwa hiyo, acha nikueleze yaliyotokea kwa kutumia story yako, hao watoto uliowataja wote Baba yao ni huyo huyo mmoja. Lakini mmoja wao ambaye ni mdogo, alikuwa na kiburi/jeuri ya kujifananisha Baba yao na kuamini ipo siku atakaa nafasi aliyopo Baba yao, kitu ambacho kilimchukiza Baba, na kuamua kumfukuza nyumbani na kubaki na yule aliyekuwa mtiifu.

mkuu, this is according to what I belive. You can take it or leave it.
[/FONT]
 

Mkuu.., nikushukuru sana kwa elimu.., kula like..!
 
Mungu ni mhukumu wa haki wala hatamuonea kiumbe wake bali apandacho ndicho atakachovuna !
Mtamfananisha na nani Mungu ?!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…