Hivi kuna umuhimu gani Vyuo Vikuu na vya Kati hapa Tanzania kuendelea ku-offer course ya Mass Communication/ Journalism?

Elon J

JF-Expert Member
Sep 30, 2022
630
1,847
Jamani hivi Kuna UMUHIMU gan vyuo vyetu kuendelea kutoa hii course ya mass communication/journalism wakati imeshavamiwa na watu wasio kuwa na TAALUMA husika.

Yani saiv Tanzania hata mtu ata akifanya kituko tu mtaani au Kawa maarufu anaitwa kwenye media Fulani anakwenda kuwa mtangazaji, sasa Kuna UMUHIMU gan kuendelea kutoa hii course.

Hii course naona imeshashushwa hadhi kabsa sababu saiv hajulikan nani mwanahabar Nan syo mwanahabar Yan mvulugano tu, saiv kila mtu reporter, kila mtu Mwanahabari.
 
Una hoja lakini kufuta kwa course hizi kisa kuongezeka kwakina juma lokole, baba levo na wapiga kelele wengine kwenye media ni kuhalalisha uwepo wao. Ndicho unachomaanisha?
Sasa kama kila mtu anauwezo wa kutangaza Kuna UMUHIMU gn kuendelea kuwa na hii course mkuu na serikali imelikalia kimya, mtu anasomea miaka 3, wakat watu mtaan hata shule hawana wanatangaza SAS Kuna UMUHIMU gan kuwa na hii course mkuu.
 
Back
Top Bottom