Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,810
Hivi inakuwaje tuna waziri wa ajira wakati hata hizo ajira hazipatikani,
Kama kuzunguka na cv vijana wameshazunguka sana hadi wengine wameshakata tamaa kutafuta ajira hadi inafikia hatua wengine wameamua kujiajili maana hamna tena ajira ?
Kuna baadhi ya viongozi wanafikia hatua ya kuhamasisha vijana wajiajiri maana ajira zimekuwa ngumu na hazipo tena?
Sasa kama hali imefikia hapo ivi , hakuna ajira ivi ni kwanini waziri wa ajira mama kairuki asijiuzulu ?
Sio yeye tuu hata secretariat ya ajira utumishi ivunjwee tuu tuelewe hakuna tena ajira vijana tuanze maisha mapya na hizo pesa zilizokuwa zikitumika kuwalipa zipelekwe katika huduma za afya ma hosipitalini ?
Au nyinyi wenzangu mnasemaje