pepim
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 335
- 51
Wanajamvi wenzangu eehe,hivi kuna ukweli katika hili?Huku kwetu na sehemu nyingine za Tanzagiza kuna tetesi zilizozagaa kuwa chainizi(mboga za majani) si nzuri kwa afya katika upande wa wanaume...eti zinapunguza nguvu za kiume na zilianzia huko China kwa minajili ya kuzuia ongezeko la watu lililokithiri huko enzi hizo...Mchango wenu una faida sana kwangu,kwa wanajf wengine pamoja na watanzagiza.