Hapo vip!!
Mimi katika research zangu nimegundua wanaume handsome na beatifuly au Pretty girls hawana roho mbaya (roho ya zakitatili)
Katka research zangu nimegundua sura ya mtu inaweza ikareflect na roho yake ilivyo.
Watu wenye sura nzuri Duniani yaani handsome mens ni watu.
1.watu wastarabu wanaopenda amani, wenye busara na hekima.
2.Hawapendi shida.
3.Wanapenda amani sana na wanaroho ya uruma.
4.si wababe.
Mfano angalia viongozi hawa itawala wao.. Clinton vs George Bush,Oboma vs Trump.
Milton Obote vs Iddi Amani Dada.
Huku pengine mimi sipo.
Kwa wanaojua wahandsome haswaa na pretty girls na umeshakaa nao ninaimani umeona ka ukweli.. Hapa sizungumzie u beautiful na handsome unaetafutwa kwenye makopo, na maanisha wale OG.. kabisa.