Hivi kuna uhusiano gani hapa?

Hivi kuna uhusiano gani hapa?

Inawezekana ikawa kweli au isiwe kweli...

Research zime prove kwamba agopa sana watu wazima lakini wana baby faces...

Ni wazuri kwa nje, lakini wana roho za kikatili sana... Na hutoweza amini matukio yao ya kutisha na ya kinyama...

Cc: mahondaw
 
toa mifano mkuu becouse research ni data zenye fact na sio kujenga hoja unaingia mtini,tupe mifano ya handsome na pretty girls ambao wanadhibitisha hayo unayoyasema.

Cc: mahondaw
 
Huu utafiti wako si wa kweli. Labda useme haya ni mawazo yako tu.Mwanadamu yuko complex mno.Wapo wanaotumia uzuri wa sura zao kuficha maovu/ukatili wao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom