Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,489
Upoo😎😊😊hakuna ubaya
nikuulize weweUpoo😎😊😊
Me niponikuulize wewe
Kwakweli kuishi mwenyewe pia nafikiria sanaa naona kwangu ni maisha ambayo ntayafirahia...nataman iwe ivi...bado najitafuta siku nikijipata nadhan ntaishi ivi...Namuomba Mungu anisaidie [emoji120]Habari wakuu, nimeona niulize swali hili baada ya kuona Jamii imekuwa na shutuma Sana kuhusu mahusiano au ndoa.
Iwe kwa kijana wa kiume au wa kike, je hakuna nafasi ya free will Kama mwanadamu[emoji848]
[emoji117]Ni lazima wote twende na trend hiyo iliyopo??,
[emoji117] Usinambie kupendwa, je wewe huwezi jithamini Kama mwanadamu??
Sheria ya asili(nature) inasema nguvu ya asili ipo hapo kukutumikia-
[emoji117]Pale unapo jihisi Maumivu, ita kutafutia mtu au kitu Cha kukufariji.
[emoji117]Na hivyo hivyo kinyume chake, nguvu hiyo inapoona Sasa mtu huyu kafarijika- basi huondoa sababu hiyoo.
Sasa jamani tusi hamasishane Sana katika Jambo hiloo, mtu akiona inafaa kwa nafasi yake Basi Ni sawa.
Note: sijasema watu wasipendane, au kutokuwa kuoana.
[emoji117]Wala SI support Jambo lolote hasi.
[emoji117] I mean no malice to nobodyView attachment 2667559
Uzeeni pia...ukiji andaa vizuri kwenye ujana hautosumbuka sanaa...kama utatunza afya yako vizuri na uka save pesa ya kukusaidia ukiwa mzeeWell, hakuna shida kuwa single. Kwenye dini kuna mapadre, masister, n.k....
Ninavyoelewa lengo la ndoa ni ushirikano (partnership) na kukidhiana madhaifu (complementation). Kama unaweza kujikamilisha kwa mambo yote basi si lazima ndoa. Usisahau na kampani ya uzeeni pia.
Lazima tuwe na uwezo wa control hisia zetu...na sio hisia zitutawaleInategemea. Kwa mwanaume kama kimaumbile uko sawa na unapatwa na hisia za ku....DO ni muhimu sana kuwa katika mahusiano maake hamu ya kutaka kumDU chuda huwa inakuja tu kwa lazima . Kinyume chake ni hivohivo kwa Wanawake
wewe ndo umeongea point uzi mzimaKama waweza vumilia kuishi bila mpenz Wala nyeto... it's okay
Uzeeni kampani ni ya muhimu sana kuliko hata pesa kwa mwanamume. Na kampani ya maana sana uzeeni ni mke wako wa ujanani.Uzeeni pia...ukiji andaa vizuri kwenye ujana hautosumbuka sanaa...kama utatunza afya yako vizuri na uka save pesa ya kukusaidia ukiwa mzee
Au sio🤔, na ulivyo mnafiki Sasa🤣😂wewe ndo umeongea point uzi mzima
Zipo hospital, sinuna maanisha ya kupunguza tamaa ya kugegedana??Mm mnisaidie dawa ya kupunguza hisia nitawashukuru sana
Mkuu we ndo una fanya, sabuni zipande Bei🤣😂😂
Kumbe mapenzi- ni kugegedana tu.?Kama waweza vumilia kuishi bila mpenz Wala nyeto... it's okay