Hivi Kuna TV stations za Bongo zinazozifikia za Kenya?

Tembosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
5,037
Reaction score
4,932
Nimegutushwa na Tangazo la ITV ya Tanzania kuwa super brand Afrika Mashariki.
Inamaani kituo hiki ni bora kuliko vyote hapa East Africa nzima.

Nakua mzito sana kuamini hili ninapotizama TV stations za Kenya, kama Citizen, KBC, NTV, KTN na K24...
Mbona naona kama ITV haifikii kabisa? In all aspects!!

Au ni nini kigezo cha kuwa super brand??
 
Nadhani jamaa wanaotoa hizo badge za superbrand wana jibu sahihi. Huenda TV na radio za Kenya hazishirikishwi maana hakuna TV bongo za kufikia level za hao jamaa wa Kenya . Clouds nao ni super brand upande wa radio.
 
Kwa vigezo gani hasa?
 
Utafiti hupingwa kwa utafiti,leta chombo kilichoonyesha utafiti kua TV za Kenya ni bora kwa mujibu wako bila ushahidi huo itakua ni wivu unakusumbua tu,ITV super brand.
Mzee Baba macho yetu wenyewe yanaona
 
Nadhani jamaa wanaotoa hizo badge za superbrand wana jibu sahihi. Huenda TV na radio za Kenya hazishirikishwi maana hakuna TV bongo za kufikia level za hao jamaa wa Kenya . Clouds nao ni super brand upande wa radio.
Hili linawezekana
 
Back
Top Bottom