Hivi Kuna TV stations za Bongo zinazozifikia za Kenya?

Kenya
Tumewazidi kuwa na wanawake warembo
Kuwa wamoja (kabla ya Jiwe)
Kuwa na chakula
Kuwa na barabara nzuri
Kuwa na ardhi yenye rutuba
 
Kwenye Tv stations tumezidiwa mbali sana na Kenya.. ITV kupewa bagde ya Super Brand sijui ni vigezo gani vimetumika!!..labda kwa sababu Kenya kuna ukabila ukabila,ambao unaingia hadi kwenye Media..Mfano Royal Media walirusha Live kuapishwa kwa Raila Odinga akiwa na jamaa yake Miguna Miguna,Kitu ambacho kilichukuliwa kama kimefanyika kutokana na influence ya ukabila..Nadhani mnakumbuka hii ishu

Kwa upande wa Radio nakubali Cloud's Fm ni super brand East Africa
 
Nimegutushwa na Tangazo la ITV ya Tanzania kuwa super brand Afrika Mashariki.
Inamaani kituo hiki ni bora kuliko vyote hapa East Africa nzima.

Nakua mzito sana kuamini hili ninapotizama TV stations za Kenya, kama Citizen, KBC, NTV, KTN na K24...
Mbona naona kama ITV haifikii kabisa? In all aspects!!

Au ni nini kigezo cha kuwa super brand??
ITV inapewa promo kwenye hamna, hata huo usuperbrand naona wanajipa tuu, kdogo EATV wanajitahdi, ITV picha mbovu Hadi kero, vipind vyenyewe havieleweki....ITV pale hakuna kitu
 
Na clouds je
Nimegutushwa na Tangazo la ITV ya Tanzania kuwa super brand Afrika Mashariki.
Inamaani kituo hiki ni bora kuliko vyote hapa East Africa nzima.

Nakua mzito sana kuamini hili ninapotizama TV stations za Kenya, kama Citizen, KBC, NTV, KTN na K24...
Mbona naona kama ITV haifikii kabisa? In all aspects!!

Au ni nini kigezo cha kuwa super brand??
 
Sijaona TV yoyote nchini kwetu inayoweza shindana na za Kenya! Wana vipindi bora vilivyojaa weredi.
Jana kupitia K24 walikuwa na kipindi kinaitwa PORI LA RUSHWA, katika taarifa yao ya habari ambacho lilichukua almost half hour!

Walikuwa wanamulika namna Mkuu wa chuo cha MASAI MARA UNIVERSITY alivyoiba hela za chuo kupitia dereva wake akimuamuru Mhasibu kutoa mamilioni ya shilling!

Kumbe Prof huyo na Dereva wake wanarekodiwa video na maongezi yao ya simu wakati wakitoa amri hiyo na wakipokea maburungutu ya pesa!

Nikajiuliza hivi kwetu kuna watu wanaweza kuexpose uchafu kama huu katika taasisi ya umma na kuirusha hewani namna hii?

Au TV zetu ni zile habari zao vinaanza na...hayo yemesemwa na....Rais wa JMT....Mkuu wa Mkoa wa....amesema......katika warsha hiyo.... na kadhalika?

Wenzetu wapo mbali sana
 
Niliona muhutasari wake katika Citizen TV but sikupata muda wa kukiona choe kiliporushwa
 
Jana kupitia K24 walikuwa na kipindi kinaitwa PORI LA RUSHWA, katika taarifa yao ya habari ambacho lilichukua almost half hour!

Walikuwa wanamulika namna Mkuu wa chuo cha MASAI MARA UNIVERSITY alivyoiba hela za chuo kupitia dereva wake akimuamuru Mhasibu kutoa mamilioni ya shilling!

Kumbe Prof huyo na Dereva wake wanarekodiwa video na maongezi yao ya simu wakati wakitoa amri hiyo na wakipokea maburungutu ya pesa!

Nikajiuliza hivi kwetu kuna watu wanaweza kuexpose uchafu kama huu katika taasisi ya umma na kuirusha hewani namna hii?

Au TV zetu ni zile habari zao vinaanza na...hayo yemesemwa na....Rais wa JMT....Mkuu wa Mkoa wa....amesema......katika warsha hiyo.... na kadhalika?

Wenzetu wapo mbali sana
This is big..

Kenya wapo mbali sana kwenye uhuru wa media.

K24 kuna anchor mmoja anaitwa Betty Kyalo ni mrembo na yupo vizuri upstairs namkubali sana
 
Jana kupitia K24 walikuwa na kipindi kinaitwa PORI LA RUSHWA, katika taarifa yao ya habari ambacho lilichukua almost half hour!

Walikuwa wanamulika namna Mkuu wa chuo cha MASAI MARA UNIVERSITY alivyoiba hela za chuo kupitia dereva wake akimuamuru Mhasibu kutoa mamilioni ya shilling!

Kumbe Prof huyo na Dereva wake wanarekodiwa video na maongezi yao ya simu wakati wakitoa amri hiyo na wakipokea maburungutu ya pesa!

Nikajiuliza hivi kwetu kuna watu wanaweza kuexpose uchafu kama huu katika taasisi ya umma na kuirusha hewani namna hii?

Au TV zetu ni zile habari zao vinaanza na...hayo yemesemwa na....Rais wa JMT....Mkuu wa Mkoa wa....amesema......katika warsha hiyo.... na kadhalika?

Wenzetu wapo mbali sana
Kabisa, jana nliona maafisa wakitinga Chuoni.
Kwakweli Mimi Napenda kuangalia Citizen TV jioni
 
Back
Top Bottom