Hivi kuna tofauti kati ya tapeli na mwanasiasa?

Hivi kuna tofauti kati ya tapeli na mwanasiasa?

chagga land

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2015
Posts
394
Reaction score
95
Wote wanapata ulaji kupitia uongo ambao mjinga anausadiki. wote huwa wataalam wa kuongea na ni wataalam wa kupangilia maneno.wote huwa na dalili za wizi.wote huwa karibu na maafisa usalama/askari ili kulinda maslahi yao.wote huwa na harufu ya kwenda jela.je,unaamini wanatofautiana?
 
"mwanasiasa" is a subset of "Tapeli". Maana yake, unakuwa kwanza tapeli kabla ya kuwa mwanasiasa. Na hivyo, kwa bongo ni ngumu kumpata mwanasiasa asiye tapeli.
 
Hivi kweli hapa tachangia chochote maana siasa naipenda!! Kkkkkkkkkk
 
Back
Top Bottom