Hivi Kuna Tofauti kati ya Private Candidate na Independent Candidate? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Kuna Tofauti kati ya Private Candidate na Independent Candidate?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Amavubi, May 1, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,451
  Likes Received: 4,733
  Trophy Points: 280
  Wadau naomba tofauti ya kina kama ipo maana niliona jamaa mmoja juzi channel 10 akitofautisha lakini nilikuta ndo anaishia sikunyaka vizuri
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,554
  Likes Received: 18,239
  Trophy Points: 280
  Private candidate ni watahiniwa wa kujitegemea wa mitihani. Independent candidate ni mgombea wa kujitegemea wa uchaguzi!.
   
 3. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,451
  Likes Received: 4,733
  Trophy Points: 280
  duh! aisee, kuna mkurugenzi mmoja alisema independent candidate ni mgombea huru kwa ksiwahili
   
 4. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,451
  Likes Received: 4,733
  Trophy Points: 280
  mkuu kama una source itajua jambo la mbolea..........
   
Loading...