No research no data no right to say ukitaja tabia za kabila flan inamaanisha unafaham idadi yao na katika hyo idadi zaidi ya asilimia tisini wana hyo tabia unayoiraja? na je unaweza kuthibitisha? Ni rahis sana mtu kusema wachaga au wasambaa wana tabia flani ukimwambia ataje mia tu anaowajua anatoa povu sasa utaconclude vp kwamba kweli kabila hlo wanatabia hyo....kitu kingine kama utajikomit kusema kabila flan wana tabia flani either wachoyo au malaya uwe na uhakika kwamba tabia hiyo inafanywa na kabila hilo tu vinginevyo haiwez kuwa sifa ya kabila hilo kwa mfano ukisema wahaya ni malaya kauli hii inamaanisha population nyingine ya tanzania iliyobaki hakuna malaya jambo ambalo c kweli wazungumzaj wa kauli hizi mara nyingi wanajitetea na kusema c wote ila wengi wao swali ni je unafaham idadi ya kabila unalozungumzia na kama huijui hlo neno wengi wao linatoka wapi? Kwa ujumla c vema kujumuisha tabia za kundi flani la watu au kabila kwamba wana tabia flani mathalani umbea uchoyo umalaya n.k hzo znaweza kufanywa na mtu yyte kutokana na mazingira mbali mbali anayopitia ktk maisha yake kuna great thinker aliyewahi kusema all generalization is false including this one akiwa na maana kwamva huwez kutoa kauli ya ujumuisho
Ewe punguani "furani" ndiyo nini?
Kabila la wachaga ni kweli hilo kabila watu wake ni bahili tena niwa binafsi na wana roho mbaya ajabu, wako tayari kuua mtu kwasababu ya uroho wa kumiliki mali.
Hapo kwenye kabila la waha hujakosea kabisa Waha ni wakarimu sana! Cjaona kabila lenye watu wenye upendo kama Waha, hawachagui wala hawabagui...tatzo kubwa la Waha ni ubishi yani hawa Watu kwenye suala la ubishi hawana mpnzani!
kwa wabena na wahehe umekosea sana mkuu. Hao watu wana mwoyo wa upendo sana, wachapakazi sana wewe mpe komoni tu. Tatizo la wabena na wahehe ni uchawi hao watu wengi wao ni wachawi sana kupindukia.
Hivi kweli hata kwa kurefer tu matukio mengi unashindwa kujua hulka za makabila hapa nchini? Mfano ukisikia haya:-
Watu 30 wamekatwakatwa mapanga kwny mkoa wa huko kanda ya ziwa...most likely watakuwa ni wale jamaa wakorofi wa kabila la wa.....
-Kuna mtaa pale kinondoni wanawake wanajiuza na ni wa kabila moja tu la kanda ya ziwa...clearly nu lile kabila la wa......
-Kuna lile kabila kule kaskazini lenye majambazi,matapeli na wapenda pesa na wanaojali pesa kuliko utu,linajulikana ni wale wa....
-kuna lile lisilopenda shule ingawa ni wazawa wa jijini bali ni mipasho,vigodoro na ngoma...wanajulikana ni wa....
Ukitokwa povu ujue umelitambua kabila lako hapo....
WAHAYA MALAYA KWELI MDAU KAMA UKO DAR-ES-SALAAM NJOO HAPA SUGARAY WANAJIUZA MASAA 24 WANAPEANA SHIFT HAPA MCHANA HUWA WANASHINDA AKINA DADA WAKUBW, JIONI HUWA NI MABINTI NDO WENGI NA WANAONGEA KIHAYA CHOCHORO YOTE INA VYUMBA ZAIDI YA 20 NA HIYO BIASHARA YAO NI YA ZAMANI TAANGU NIKISOMA SHULE YA MSINGI MUUNGANO-TEMEKE
WANAWAKE WA KICHAGA HUPENDA
Ulevi....Na Nyama (wakike na wakiume)
Pesa
Umalaya
Wanapenda biashara.
Wanawake wa kichaga Wanapenda Pesa na ulevi hii hupelekea kuwa malaya hili hunidanganyi Nimesoma KCMC 5 years na Pale Malindi wamejaa wanajiuza kuanzia saa 1 usiku mpaka mida yao
Wanawake wa Kitanga hawa wanapenda kuridhika sana na wanaamini kazi yao kubwa ni kumuhudumia mume kwa kweli siyo wahuni
Wahehe wanawake wa kihehe wanakiburi they real don't care kama umemuoa na ndugu zako wanaleta maneno she will real show off her true colours .
Wanyamwezi hawa naweza kusema ni kabila ambalo lina watu wavivu na hawapendi kusoma Nilisoma Shule ya Wavulana Tabora Darasa nililosoma lilikua halina mnyamwezi hata mmoja Combination zote .Wanawake wa kinyamwezi hupenda kusugua nyayo tuu na wanaume vijiweni tuu majungu na milegezo kwa vijana wakilalamika kuwa serikali haina ajira na wezi nakumbuka wakati nipo kule jamaa alituletea Chupa ya chai ambayo ilikua na uji ndani yake tulivyofanya utafiti tukagundua kaiba kwenye treni pale station.
Waha ni wachapa kazi nahisi ndo wenye maduka yote ya Tabora wanajishughulisha sana aisee sema wanapenda kuzaliana sana usishangae kuona mama wa kiha akiw na watoto 12 ila siyo wahuni.
Ahah ha ha wacha povu linitokee da!
Mph!! Mjadala wa makabila ni mgumu kila kabila lina mapungufu yake.