Hivi kuna Taasisi ambazo Kikokotoo hakiwahusu?

kukumsela

JF-Expert Member
Oct 13, 2018
721
907
Habari za Zenu Wakuu Mbalimbali

Naomba kuuliza swali langu kama ifuatavyo:

Je, kuna Taasisi ya Serikali hapa Nchini ambapo Mfumo mpyaa wa ulipaji Mafao kwa ajili ya Wastaafu Yaani Kikokotoo hakiwahusu na wanaendelea kutumia Mfumo wa Zamani kwa ajili ya Malipo ya Wastaafu?

Naomba kuwasilisha tafadhali.

Kukumsela
 
Unachopaswa kufahamu ni kuwa ishu ya kikokotoo ni swala la kisheria. Kama uchangiaji wako yalikuwa yakipokelewa katika taasisi husika basi tambua tu kuwa kikokotoo kitakuhusu kwa lazima.
 
Back
Top Bottom