Hivi kuna pepo la viburi kwa watoto?

Hivi kuna pepo la viburi kwa watoto?

kumbe...mimi nilikuwa sijui ila kivipi sasa mzee mwenzangu
Awamu ya nne (kupitia CCM) ilitengeza kizazi fulani cha vijana ambao ni wachumia tumbo, wanafiki, wanaoishi kijanjajanja matokeo yake wamezalisha na kuzalishwa ovyo kiasi kwamba wameshindwa kutimiza wajibu wao katika kuwalea kimaadili na afya ya akili!
 
Daaaahhh alafu watoto wa boarding schools ukizitoa zile za kidini ni tabu..yaani mtoto hana hata adabu wala haijui mipaka ya matendo yake kwa watu wazima na ole wako umuadabishe ,huyo mzazi wake lazma mvaane

Kuna siku nilimtembelea jamaa yangu na kulikuwa kuna mtoto jeuri sana ila wazazi wake hawaishi kumsifia kuwa ni "Brilliant" ,familia za dad na mom..
Kimbembe kilikuja nilipokaribishwa juice..mtoto alitoka alipokaa na yowe kuja kuing'ang'ania hadi nikampa huku wazazi wake wakimkenulia meno...
NILIFURA HASIRA HUKU NIKIKITAMANI KUKISHUSHIA KIPONDO HEAVY
 
hahaha Mitoto ya siku hizi iko kama ina pepo hakyanani... miharibifu.. mijeuri.. ujuaji mwingi....

nilimtembelea rafki yangu flani.. gari likabaki nje.. kurudi nakuta wamepanda juu ya bonet.. wiper zote wamezikunja kama kitanzi.... nilishindwa kuelewa wale ni watotoo au majini...

nimekata shauri la kutozaa kwanza... gafla hamu ya kua na mtoto imenipotea kabisa... mimi ni ME.
 
Malezi ya wazazi kwa watoto yamekuwa hafifu sana.

Wazazi wengi wa miaka hii wenye wanadhani watoto kula vizuri, kupata kila wanachokitaka kwa wakati, kusoma shule nzuri za gharama na kuhakikisha wanakuwa salama nyumbani chini ya house girls ndio malezi bora, wanasahau kutenga muda wa kuongea na watoto na kuwafundisha adabu na utii.

Huku kwa kina sisi na maisha haya yanayozidi kuwa magumu kila siku, mtu anaamka tu anawaza kutafuta chochote kwa ajili ya watoto hivyo muda wa kuwa na mtoto ni jioni sana huku yupo hoi so inakuwa vigumu kumfuatilia mtoto.

Wazazi wa siku hizi pia asilimia kubwa hawaamini katika adhabu ya viboko ila inasaidia sana.

Me nina mtoto mmoja ila kila nikifikiria kuongeza naogopa. Sijui ajaye atakuwa na tabia gani. Huyu niliyenaye ananijua vizuri nini nataka nini sitaki, muda gani tutaniane, muda gani nakuwa rafiki yake, muda gani nakuwa mama, muda gani nakuwa mwalimu, akifanya nini anapewa zawadi, akifanya nini anaadhibiwa. Na fimbo yake anaihifadhi mwenyewe siku ya kuchapwa sipati shida namtuma aleta namchapa km mwalimu akishika anakuwa kafuta naanza upya nikimalizana nae anarudisha sharti rahisi tu siku akiipoteza nitakayotafuta ni zaidi ya ile, pia kuna muda wa kuongea nae hili tabia mbaya hili tabia nzuri.

La mwisho wazazi pia tunasahau kuwaweka watoto karibu na Mungu ili wapate hofu ya Mungu, siku hizi uzungu mwingi kati ya mzazi na mtoto
 
asante nitaihifadhi hii nijekuitumia kwa watoto wangu naamini unamlea vizuri mwanao na hana vijitabia vibovu
 
hahaha Mitoto ya siku hizi iko kama ina pepo hakyanani... miharibifu.. mijeuri.. ujuaji mwingi....

nilimtembelea rafki yangu flani.. gari likabaki nje.. kurudi nakuta wamepanda juu ya bonet.. wiper zote wamezikunja kama kitanzi.... nilishindwa kuelewa wale ni watotoo au majini...

nimekata shauri la kutozaa kwanza... gafla hamu ya kua na mtoto imenipotea kabisa... mimi ni ME.
zaa bwana mtoto ni baraka ila tujifunze kulea kwanza tusije tukajikuta tunapata matatizo maana mtoto anaweza akakukera ukatamani umng'ate au umpige sana hadi umjerui ukitoka hapo wana usalama wanakusubiri mlangoni
 
Daaaahhh alafu watoto wa boarding schools ukizitoa zile za kidini ni tabu..yaani mtoto hana hata adabu wala haijui mipaka ya matendo yake kwa watu wazima na ole wako umuadabishe ,huyo mzazi wake lazma mvaane

Kuna siku nilimtembelea jamaa yangu na kulikuwa kuna mtoto jeuri sana ila wazazi wake hawaishi kumsifia kuwa ni "Brilliant" ,familia za dad na mom..
Kimbembe kilikuja nilipokaribishwa juice..mtoto alitoka alipokaa na yowe kuja kuing'ang'ania hadi nikampa huku wazazi wake wakimkenulia meno...
NILIFURA HASIRA HUKU NIKIKITAMANI KUKISHUSHIA KIPONDO HEAVY
ila kwa boarding mimi naona zote si za dini si za kawaida...ila kulea nadhani kuna umuhimu wa kuandaa darasa la kujifunza kulea
 
Awamu ya nne (kupitia CCM) ilitengeza kizazi fulani cha vijana ambao ni wachumia tumbo, wanafiki, wanaoishi kijanjajanja matokeo yake wamezalisha na kuzalishwa ovyo kiasi kwamba wameshindwa kutimiza wajibu wao katika kuwalea kimaadili na afya ya akili!
m
Mkuu hata mm CCM siikubali ila siyo kwa kiwango ulichofikia wewe. Duuh
mimi naona ccm ni chanzo
 
Kuna kamoja juz mtaani nilikauliza, mtoto hujambo aiseeee kalivyonijibu sina hamu eti"sijajamba nikijamba ntakwambia"nikaishiwa ht nguvu nikabak nakaangalia
 
technology nayoinaharibu sana watoto, baadhi ya program za tvsio rafiki kwa watoto, mfano baadhi ya nyimbo, movie n.k. ni wajibu wa mzazi kua karibu na mtoto wake, umchagulia mtoto marafiki wazuri/wenye maadili, kumfundisha maadili ya kidini mapema.
 
MASLAHI:
Walimu shuleni, masheikh madrasa, wachungaji kanisani wapo kimaslahi zaidi kuliko kujitolea kwa dhati km wazazi kufundisha maadili. Wazazi pia wapo biz na kutafuta pesa wiki nzima muda hakuna wakukaa na watoto wao

MAZINGIRA:
Majirani wanafurahia na kumuona mtoto wa mzazi mwingine akiharibika bila hata ya kuchukua hatua. Huku uswahilini kwetu pia nyumba za kupanga bei ghali watoto na wazazi wanalala chumba kimoja.

UTANDAWAZI:
Tumeacha mila na desturi zetu tulizorithishwa na wazee wetu na tunalea familia zetu kizungu..mtoto hata akikosea haguswi wala haambiwi kwa sababu atalia, wazazi au Tv wanapigana kiss, wanatukana matusi makubwa na kuvaa mavazi ya kisasa mbele ya watoto wao.
 
dawa ni kumnyoosha mtoto tangu mdogo,kwa viboko au adhabu nyingine ambazo zitamuadhibu kweli na kutokana na kiwango cha kosa(adhabu iswe na madhara ya muda mrefu) tuwapende lakini tusiwadekeze bali tuwafundishe stadi mbalimbali za maisha tangu wakiwa wadogo.
 
Back
Top Bottom