BigBro
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 3,192
- 9,802
Ni hivi, fuatilia kwa makini sana uzungumzaji wa Kiingereza kwa Wamarekani wazungu na wale weusi, kunatofauti kubwa sana katika uzungumzaji wake hasa kwenye slang. Wamarekani wazungu wanazungumza kiingereza kizuri zaidi bila kukata sana maneno tofauti na Wamarekani weusi.
Nimefanya nao kazi wote kwa muda mrefu, lakini kila ninapokutana na Mmarekani mweusi kiingereza chake ni tofauti na kabisa na Mzungu.
Hata kama ni mfuatiliaji mzuri wa hotuba za Marais wa Marekani, msikilize kwa makini rais wa zamani, Barack Obama, halafu msikilize tena kwa makini rais wa zamani, George W. Bush, then msikilize rais wa sasa, Donald Trump, utasikia tofauti kubwa mno ya utamkwaji wa maneno. Bush na Trump slang yao inafafana, lakini Obama slang yake ni kama wale Wamarekani weusi.
Hata kwa wale wapenzi wa muzi za Hollywood, wasikilize wachezaji muvi weusi na wazungu, utaona pia wanasungumza kiingereza chenye slang tofauti kabisa.
Nimekuwa najiuliza nimeshindwa kupata jibu, kwa sababu kama Weusi wamezaliwa katika ya Wazungu wa Marekani kwanini slang yao inatofautiana?