Hivi kuna mwandishi wa habari wa Tanzania aliwahi kwenda Ulaya kuwahoji waandishi wa huko?

Mmekosa busara hamjui nini chakusema wapi na wakati gani? Hii issue mkae kimya italeta shida zaidi. Mnaweza kuwashinda cdm kwa ubabe lakini sio hawa wanatuletea mashudu. Hekima hekima .
Muache uoga wa kitoto ....awamu hii tumetangaza uhuru kamili!
 
Back
Top Bottom