Hivi kuna mwalimu anamiliki Harrier new model kweli?

Hivi kuna mwalimu anamiliki Harrier new model kweli?

View attachment 2583704
View attachment 2583705
New modal ya harrier ni hiyo hapo hata wafanyabiashara wanaomiliki ni wachache sana
Hii ndiyo Harrier New Model?
Sitatoa mchango wowote kwa maendeleo ya hii nchi mpaka nipate Harrier New Model.
Isaka alimwambia Essau kama unataka kubarikiwa,nenda porini uniletee nyama,nile nikubariki.
Ndio maana sasa unaona ripoti ya CAG; eengine wanasema "kamata hawa wati,watundike kwenye mti,wanyonge wote'; wengine wanaona unawapigia makelele tu.
 
Hizo gari waalimu wanaweza kununua ni kukopa kama wenzao bank kupitia utaratibu wao
habarini wana jamvi?

(Hili swali haliwahusu walimu wa kike wenye chura)

Sasa hivi Harrier zipo kama nchungu barabarani, Utaziona benki, utaziona hospital ofisi za serekeli, ila mbna sijaona zikiwa zimepaki shule (ila na kwenye vituo vya polisi pia ni nadra[emoji23])

Nitangulize samahani kwa ambao nitawakwaza, ila nina swali ndugu.

Hivi kuna mwalimu anamiliki harrier matter call ya nyani?

Kwasababu nina miaka 5 kwenye ualimu sijashuhudia kwa wenzangu na baadhi ya shule nilizotembelea
hata wengi wao wakistaafu hujenga nyumba za wapangaji tu.

Ualimu ni baraka,Tuuenzi na kuuheshimu.

Wale waropokaji wa kutetea tetea bila hoja za kichwa na miguu huu uzi hauwahusu piteni hivi.

View attachment 2583692
We
 
Nshomile,Harrier siyo gari za maana.Kuna vogue,range,jaguar Benz , Bugatti nk.
 
habarini wana jamvi?

(Hili swali haliwahusu walimu wa kike wenye chura)

Sasa hivi Harrier zipo kama nchungu barabarani, Utaziona benki, utaziona hospital ofisi za serekeli, ila mbna sijaona zikiwa zimepaki shule (ila na kwenye vituo vya polisi pia ni nadra[emoji23])

Nitangulize samahani kwa ambao nitawakwaza, ila nina swali ndugu.

Hivi kuna mwalimu anamiliki harrier matter call ya nyani?

Kwasababu nina miaka 5 kwenye ualimu sijashuhudia kwa wenzangu na baadhi ya shule nilizotembelea
hata wengi wao wakistaafu hujenga nyumba za wapangaji tu.

Ualimu ni baraka,Tuuenzi na kuuheshimu.

Wale waropokaji wa kutetea tetea bila hoja za kichwa na miguu huu uzi hauwahusu piteni hivi.

View attachment 2583692
Wewe ni mjinga sana
 
Labda walimu wa madrasa.

Napokea mikukii

Anyway specify walimu wa serikali labda, hapo sibishiii, labda sijui awe ni mishe gani byingne,

Ila kuna walimu shule kubwa za private anakula 2M, mimi kuna ninao fahamiana nao kbsa wanapita na 1.4M tena ni wakati hivi anaanza ila wengi 1.8M, posho za surprise za kutosha, graduations pesa za kuwawezesha ukisikiliza inagonga +200M, mfuko wao wa kukopeshana una 1B kasoro baada ya wengi kuchukua,

kila mwanafunzi anatoa 100k ya hamasa kwa walimu kila wakianza mwaka, Ukitoa div 1 ni 100k kila ile(kumbuka ndio zinajaa, almost 90%),
Ni shule flan ya girs siwezi taja ipo kaskazini kule, ada ni zaidi ya 6M( narudia tena ni Zaidi) kwa wanafunzi +1,300, Na mmiliki kwenye vikao anakuambia kbsa shule haiendeshwi kwa ada na michango, ni Wafadhiri kutoka US...

One of the best school i ever seen with the best facilities, environments for students, etc. Sikuhizi haiingi sana top 10 sbb inakua na wanafunzi wengi sana, unakuta darasa moja wanafunzi 200 na ushee, ila piga ua lazima waingize wanafunzi top 10, na yenyewe ichezee kwenye kumi na.... huko, mwisho ni dv 2 za kueleweka..

Ukiangalia parking yao pale nje, ni Kruger, Harrier, Rav4 za maana n.k.

Siongei nadharia, nina ...... wanasoma kule, vikao naenda, rafiki wanafanya kazi, n.k n.k..

Kwa mwenye kuijua mpk hapo ashaiju
Ila aise kuna watu wanaishi maisha ya ki jehanam yaani mshahara wa 1.4M mtu anaona ni mkubwa aiseeee?
 
You can't be serious...!!

Mwalimu anakaa miaka 20 kazini pikipiki tu INAMSHINDA ndio ije tako la nyani ambalo ni 30M+...

UALIMU ni kazi ya watoto wa maskini ...ndio maana hata akili zao na uwezo wao ni wa kimaskini sana.

Japo UALIMU ni kazi ya mitume na manabii ila kwa sasa hivi hii kada imevamiwa mno na wahuni.

Ukiamua kuwa mwalimu basi ukubali kuipa mgongo Dunia kama walimu wa Madrasa.
Jf bana watu wana comment utadhani maisha wameyapatiyaaaaaaa kumbe mtu anayetoa comment unaweza kuta yupo kigogo sambusa huko kachacha Ile mbaya yaani jf unaweza zani kila mtu ni Fogo kwa comments za humu .
 
Kuna nafasi za ajira 11k zimetolewa na serikali, kada ya ualimu wachangamke sasa waache kulalamika ajira hakuna, wakizipata wanunue harrier anakonda kuanzia 65M
 
Back
Top Bottom