Hivi kuna mwalimu anamiliki Harrier new model kweli?

habarini wana jamvi?

(Hili swali haliwahusu walimu wa kike wenye chura)

Sasa hivi harrier zipo kama nchungu barabarani, Utaziona benki, utaziona hospital ofisi za serekeli, ila mbna sijaona zikiwa zimepaki shule (ila na kwenye vituo vya polisi pia ni nadra[emoji23])

Nitangulize samahani kwa ambao nitawakwaza, ila nina swali ndugu.

Hivi kuna mwalimu anamiliki harrier matter call ya nyani?

kwasababu nina miaka 5 kwenye ualimu sijashuhudia kwa wenzangu na baadhi ya shule nilizotembelea
hata wengi wao wakistaafu hujenga nyumba za wapangaji tu

View attachment 2583692

Ualimu ni baraka,Tuuenzi na kuuheshimu

Wale waropokaji wa kutetea tetea bila hoja za kichwa na miguu huu uzi hauwahusu piteni hivi.....
Yupo shemeji yangu hapo Dar anayo na ni teacher
 
Hii ni akili ya kimaskini. Mbona uulizi ni walimu wangapi wanamiliki matrekta au au mashine za kusaga, misitu etc. Wewe liabilities hizo ndo unaona cha maana.
 
Harrier??? Mbali sana huko siungesema Simu ya Samsung A52 au A53 akipatikana ni kwa tochi.
 
Mwalimu aliyefanikiwa kaishia kumiliki Pajero ya 2004😅😅 au pikipiki boxer Tena used
Serikali ndio inawafanya wawe masikini, fikiria mwalimu akikopa 10mln anatakiwa airudishe ndani ya miaka 5 na ataongeza riba kama ya 5.5mln, lkn mfanya biashara yaweza kuwa ni mwaka mmoja na riba sio zaidi ya 1mln
 
Mpwayugu, habari za siku blai!!
JamiiForums-575292719.jpg
 
You can't be serious...!!

Mwalimu anakaa miaka 20 kazini pikipiki tu INAMSHINDA ndio ije tako la nyani ambalo ni 30M+...

UALIMU ni kazi ya watoto wa maskini ...ndio maana hata akili zao na uwezo wao ni wa kimaskini sana.

Japo UALIMU ni kazi ya mitume na manabii ila kwa sasa hivi hii kada imevamiwa mno na wahuni.

Ukiamua kuwa mwalimu basi ukubali kuipa mgongo Dunia kama walimu wa Madrasa.
Ualimu wa level Gan.....Kuna lectures and tuitour
 
Umeona walimu tu manesi wanayo hayo matako ya nyani? Kwa taarifa yako wapo walimu Tena matawi ya juu, Kama hupo morogoro naweza kukuelekeza Tena mmoja naweza kukupekeka mpaka kwake, kwake Tena Kuna mikamera , watoto wao wanasoma international school.
 
habarini wana jamvi?

(Hili swali haliwahusu walimu wa kike wenye chura)

Sasa hivi harrier zipo kama nchungu barabarani, Utaziona benki, utaziona hospital ofisi za serekeli, ila mbna sijaona zikiwa zimepaki shule (ila na kwenye vituo vya polisi pia ni nadra[emoji23])

Nitangulize samahani kwa ambao nitawakwaza, ila nina swali ndugu.

Hivi kuna mwalimu anamiliki harrier matter call ya nyani?

kwasababu nina miaka 5 kwenye ualimu sijashuhudia kwa wenzangu na baadhi ya shule nilizotembelea
hata wengi wao wakistaafu hujenga nyumba za wapangaji tu

View attachment 2583692

Ualimu ni baraka,Tuuenzi na kuuheshimu

Wale waropokaji wa kutetea tetea bila hoja za kichwa na miguu huu uzi hauwahusu piteni hivi.....
Umechunguza shule za Japan, hazipo?
 
HV harrie matako ya njani Ni gar nayo mzee HV unajuwa magar kweli

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
habarini wana jamvi?

(Hili swali haliwahusu walimu wa kike wenye chura)

Sasa hivi harrier zipo kama nchungu barabarani, Utaziona benki, utaziona hospital ofisi za serekeli, ila mbna sijaona zikiwa zimepaki shule (ila na kwenye vituo vya polisi pia ni nadra[emoji23])

Nitangulize samahani kwa ambao nitawakwaza, ila nina swali ndugu.

Hivi kuna mwalimu anamiliki harrier matter call ya nyani?

kwasababu nina miaka 5 kwenye ualimu sijashuhudia kwa wenzangu na baadhi ya shule nilizotembelea
hata wengi wao wakistaafu hujenga nyumba za wapangaji tu

View attachment 2583692

Ualimu ni baraka,Tuuenzi na kuuheshimu

Wale waropokaji wa kutetea tetea bila hoja za kichwa na miguu huu uzi hauwahusu piteni hivi.....
Mkuu ukishajua kama hayo magari wanayo ama hawana utawanunulia?
 
Unaonekana unatoka familia ya kimasikini sana.
Mbona mimi ninayo na ni mwalimu?
Sema zaidi ya kazi ninafanya shughuli zingine pembeni zaidi ya yote nina mali ya kifamilia niliachiwa
 
Back
Top Bottom