Hivi kuna mwalimu anamiliki Harrier new model kweli?

Hivi kuna mwalimu anamiliki Harrier new model kweli?

Nshomile wa Muleba

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2015
Posts
2,165
Reaction score
5,642
habarini wana jamvi?

(Hili swali haliwahusu walimu wa kike wenye chura)

Sasa hivi Harrier zipo kama nchungu barabarani, Utaziona benki, utaziona hospital ofisi za serekeli, ila mbna sijaona zikiwa zimepaki shule (ila na kwenye vituo vya polisi pia ni nadra[emoji23])

Nitangulize samahani kwa ambao nitawakwaza, ila nina swali ndugu.

Hivi kuna mwalimu anamiliki harrier matter call ya nyani?

Kwasababu nina miaka 5 kwenye ualimu sijashuhudia kwa wenzangu na baadhi ya shule nilizotembelea
hata wengi wao wakistaafu hujenga nyumba za wapangaji tu.

Ualimu ni baraka,Tuuenzi na kuuheshimu.

Wale waropokaji wa kutetea tetea bila hoja za kichwa na miguu huu uzi hauwahusu piteni hivi.

IMG_5137.jpg
 
Labda walimu wa madrasa.

Napokea mikukii

Anyway specify walimu wa serikali labda, hapo sibishiii, labda sijui awe ni mishe gani byingne,

Ila kuna walimu shule kubwa za private anakula 2M, mimi kuna ninao fahamiana nao kbsa wanapita na 1.4M tena ni wakati hivi anaanza ila wengi 1.8M, posho za surprise za kutosha, graduations pesa za kuwawezesha ukisikiliza inagonga +200M, mfuko wao wa kukopeshana una 1B kasoro baada ya wengi kuchukua,

kila mwanafunzi anatoa 100k ya hamasa kwa walimu kila wakianza mwaka, Ukitoa div 1 ni 100k kila ile(kumbuka ndio zinajaa, almost 90%),
Ni shule flan ya girs siwezi taja ipo kaskazini kule, ada ni zaidi ya 6M( narudia tena ni Zaidi) kwa wanafunzi +1,300, Na mmiliki kwenye vikao anakuambia kbsa shule haiendeshwi kwa ada na michango, ni Wafadhiri kutoka US...

One of the best school i ever seen with the best facilities, environments for students, etc. Sikuhizi haiingi sana top 10 sbb inakua na wanafunzi wengi sana, unakuta darasa moja wanafunzi 200 na ushee, ila piga ua lazima waingize wanafunzi top 10, na yenyewe ichezee kwenye kumi na.... huko, mwisho ni dv 2 za kueleweka..

Ukiangalia parking yao pale nje, ni Kruger, Harrier, Rav4 za maana n.k.

Siongei nadharia, nina ...... wanasoma kule, vikao naenda, rafiki wanafanya kazi, n.k n.k..

Kwa mwenye kuijua mpk hapo ashaijua..
 
Mpwayungu in other ID


Mbna mnawaandama walimu [emoji23][emoji23]

Mwanzo nilijua ni utani nikawa nawatania walimu kumbe ilikua udhalilishaji kwa walimu, kwa mtafutaji yeyote rule number one ni kumuheshimu kila mmoja bila kujali uwezo wake kiuchumi, kwani kupitia hao walimu wengine kwenye mazao hua wanatustiri kwa kutununulia kwa uaminifu na kutunza huko vijijini, basi tu
 
You can't be serious...!!

Mwalimu anakaa miaka 20 kazini pikipiki tu INAMSHINDA ndio ije tako la nyani ambalo ni 30M+...

UALIMU ni kazi ya watoto wa maskini ...ndio maana hata akili zao na uwezo wao ni wa kimaskini sana.

Japo UALIMU ni kazi ya mitume na manabii ila kwa sasa hivi hii kada imevamiwa mno na wahuni.

Ukiamua kuwa mwalimu basi ukubali kuipa mgongo Dunia kama walimu wa Madrasa.
 
Back
Top Bottom