habarini wana jamvi?
(Hili swali haliwahusu walimu wa kike wenye chura)
Sasa hivi harrier zipo kama nchungu barabarani, Utaziona benki, utaziona hospital ofisi za serekeli, ila mbna sijaona zikiwa zimepaki shule (ila na kwenye vituo vya polisi pia ni nadra[emoji23])
Nitangulize samahani kwa ambao nitawakwaza, ila nina swali ndugu.
Hivi kuna mwalimu anamiliki harrier matter call ya nyani?
kwasababu nina miaka 5 kwenye ualimu sijashuhudia kwa wenzangu na baadhi ya shule nilizotembelea
hata wengi wao wakistaafu hujenga nyumba za wapangaji tu
View attachment 2583692
Ualimu ni baraka,Tuuenzi na kuuheshimu
Wale waropokaji wa kutetea tetea bila hoja za kichwa na miguu huu uzi hauwahusu piteni hivi.....