Hivi kuna mwalimu anamiliki Harrier new model kweli?

You can't be serious...!!

Mwalimu anakaa miaka 20 kazini pikipiki tu INAMSHINDA ndio ije tako la nyani ambalo ni 30M+...

UALIMU ni kazi ya watoto wa maskini ...ndio maana hata akili zao na uwezo wao ni wa kimaskini sana.

Japo UALIMU ni kazi ya mitume na manabii ila kwa sasa hivi hii kada imevamiwa mno na wahuni.

Ukiamua kuwa mwalimu basi ukubali kuipa mgongo Dunia kama walimu wa Madrasa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
habarini wana jamvi?

(Hili swali haliwahusu walimu wa kike wenye chura)

Sasa hivi harrier zipo kama nchungu barabarani, Utaziona benki, utaziona hospital ofisi za serekeli, ila mbna sijaona zikiwa zimepaki shule (ila na kwenye vituo vya polisi pia ni nadra[emoji23])

Nitangulize samahani kwa ambao nitawakwaza, ila nina swali ndugu.

Hivi kuna mwalimu anamiliki harrier matter call ya nyani?

kwasababu nina miaka 5 kwenye ualimu sijashuhudia kwa wenzangu na baadhi ya shule nilizotembelea
hata wengi wao wakistaafu hujenga nyumba za wapangaji tu

View attachment 2583692

Ualimu ni baraka,Tuuenzi na kuuheshimu

Wale waropokaji wa kutetea tetea bila hoja za kichwa na miguu huu uzi hauwahusu piteni hivi.....
Umekariri maisha sana mkuu..

Ukitembelea hizi shule ndio utajua hujui walimu wanajiweza vizuri tu..sema wapo wengi so kila tabia inapatikana huko..
 
habarini wana jamvi?

(Hili swali haliwahusu walimu wa kike wenye chura)

Sasa hivi harrier zipo kama nchungu barabarani, Utaziona benki, utaziona hospital ofisi za serekeli, ila mbna sijaona zikiwa zimepaki shule (ila na kwenye vituo vya polisi pia ni nadra[emoji23])

Nitangulize samahani kwa ambao nitawakwaza, ila nina swali ndugu.

Hivi kuna mwalimu anamiliki harrier matter call ya nyani?

kwasababu nina miaka 5 kwenye ualimu sijashuhudia kwa wenzangu na baadhi ya shule nilizotembelea
hata wengi wao wakistaafu hujenga nyumba za wapangaji tu

View attachment 2583692

Ualimu ni baraka,Tuuenzi na kuuheshimu

Wale waropokaji wa kutetea tetea bila hoja za kichwa na miguu huu uzi hauwahusu piteni hivi.....
hata akipewa bure kuitunza hawez
 
kwani kipaumbele chao ni kununua harrier?, wana bajeti ya mafuta?. kwani wanategemea mshahara tu ili wafanikiwe?
 
Sidhani labda wenye harakati, harrier ni 30M+ Sasa kwa mshahara wa laki 3 kwa mwezi atawezaje
90M+ mkuu, Kuna mama alikua anatoa ushuhuda kanisani akasema amenunua kwa Bei hio (nimeongea kwa sauti ya Chini)
Screenshot_20230410-221216.png
 
Jaman wapeni pumzi Walimu wana mchango mkubwa sana kwenye maisha yetu..wao ndio wametuwezesha ata kua hapa JF na kuanza kuexpress our views

Sawa lengo ni awareness waweze kufika level flani ya maendeleo but tunapowasilisha hoja na changamoto zetu juu ya Waheshimiwa Walimu basi tuziwasilishe kwa HESHIMA KUBWA JUU YAO 🙏

WALIMU WOTE MWENYEZI MUNGU awapiganie 🙏
 
habarini wana jamvi?

(Hili swali haliwahusu walimu wa kike wenye chura)

Sasa hivi harrier zipo kama nchungu barabarani, Utaziona benki, utaziona hospital ofisi za serekeli, ila mbna sijaona zikiwa zimepaki shule (ila na kwenye vituo vya polisi pia ni nadra[emoji23])

Nitangulize samahani kwa ambao nitawakwaza, ila nina swali ndugu.

Hivi kuna mwalimu anamiliki harrier matter call ya nyani?

kwasababu nina miaka 5 kwenye ualimu sijashuhudia kwa wenzangu na baadhi ya shule nilizotembelea
hata wengi wao wakistaafu hujenga nyumba za wapangaji tu

View attachment 2583692
habarini wana jamvi?

(Hili swali haliwahusu walimu wa kike wenye chura)

Sasa hivi harrier zipo kama nchungu barabarani, Utaziona benki, utaziona hospital ofisi za serekeli, ila mbna sijaona zikiwa zimepaki shule (ila na kwenye vituo vya polisi pia ni nadra[emoji23])

Nitangulize samahani kwa ambao nitawakwaza, ila nina swali ndugu.

Hivi kuna mwalimu anamiliki harrier matter call ya nyani?

kwasababu nina miaka 5 kwenye ualimu sijashuhudia kwa wenzangu na baadhi ya shule nilizotembelea
hata wengi wao wakistaafu hujenga nyumba za wapangaji tu

View attachment 2583692

Ualimu ni baraka,Tuuenzi na kuuheshimu

Wale waropokaji wa kutetea tetea bila hoja za kichwa na miguu huu uzi hauwahusu piteni hivi.....
Akiwa nayo shemeji yako inatosha.

Ualimu ni baraka,Tuuenzi na kuuheshimu

Wale waropokaji wa kutetea tetea bila hoja za kichwa na miguu huu uzi hauwahusu piteni hivi.....
Akia
 
EBU TUPAZE SAUTI WIZARA YA ELIMU ILIPE MADAI YA WALIMU, MFANO PESA ZA LIKIZO UHAMISHO N.K.
 
Back
Top Bottom