Hivi kuna mtanzania anayeweza kukosa sifa za kugombea ubunge?

Uwezo wa kibajaj ni zaidi ya daktari wenu hapo Ufipa!
Hahaha jonnyyyy strike again. Kibajaji hana uwezo wowote kinachombeba ni chama. Lakin ukimweka hadharan bila chama kuwa nyuma yake lazima apotee.
Nawaheshim sana walionizid elimu. Hujui ni madesa mangap wamepitia mpaka wamefika hiyo level halaf unamfananisha na mtu hata cheti cha secretary hana.
 
Hahahaa........!
 
Najiuliza tu maana sifa kuu ni kujua kusoma na kuandika pia usiwe mhalifu.

Niko na rafiki zangu wa kimasai na kimeru hapa nawafundisha KKK!

Maendeleo hayana vyama!
Unakera sana. Subiri ya Al Bashir yanakuja, utapata majibu ya maswali yako yote. Nadhani Al Bashir anapata majibu ya maswali aliyokuwa akiwauliza mahasimu wake!
 
Kama ulishawahi kumpiga mgombea mwenzio gongo la kichwa basi hufai
 
Unakera sana. Subiri ya Al Bashir yanakuja, utapata majibu ya maswali yako yote. Nadhani Al Bashir anapata majibu ya maswali aliyokuwa akiwauliza mahasimu wake!
Unakereka na nini si ungeenda kugombea wewe Arumeru!
 
Who is Tibaijuka, she is as rubbish as anyone from Lulmumba!
Ni Tanzania tu unakuta mtu yoyote(any Tom and Dick) mwenye elimu labda ya hapa na pale halafu anamponda Phd holder au Professor na taaluma yake.
 
If you do not deliver with your degrees, "mabooks and madictionaries" yote yako kichwani and the society around you does not get what is expected from you, then, you are a shit!
 
Na bongo ku-deliver ni kuwa upande wenu pendwa wa kisiasa sio uwezo wake kitaaluma.
 
Unakera sana. Subiri ya Al Bashir yanakuja, utapata majibu ya maswali yako yote. Nadhani Al Bashir anapata majibu ya maswali aliyokuwa akiwauliza mahasimu wake!
Kila siku ni.hayo hayo..mlianza toka jammeh,ben Ali kila anaedondoka mnatamani iwe Tanzania,
EL bashir kakaa miaka 30.hapa Magufuli bado 7!,na akiweza tunampa mingine 10
 
The past is not the present! Ndiyo maana bashir ametoka after 30 yrs kwa vile 30 yrs back siyo sawa na leo! watu wakiamua kwenda barabarani, mtaua wote, say milioni 3! mtaua wote? Dunia itawaangalia hivi? tafakari!
 
Back
Top Bottom