Ahsante. Kuna mtu anauza Mac Book Air Tzs 550,000 n anasema ina GB 16 RAM .sasa nakuwa na wasi wasi kwa sababu bei iko chini sanaunachouziwa ni hardware hata kama ni original unaweza uziwa macbook ya core 2 duo au i7 za zamani na usijue kama umetapeliwa.
kama ni dukani chukua warranty na risiti halafu utaikagua baadae. kama ni mkononi muulize specs zake halafu google online au nenda na mtu anaejua computer au post specs zake humu jukwaani utasaidiwa.
kuhusu ufeki si rahisi kupata laptop fake sababu ili uwe oem ni lazima apple/microsoft/intel/amd wakutambue sio kama android
umempata online? namba yake ya whatsapp ni ya kenya? yupo mkoa ambao sio dar hasa hasa mikoa ya kusini?Ahsante. Kuna mtu anauza Mac Book Air Tzs 550,000 n anasema ina GB 16 RAM .sasa nakuwa na wasi wasi kwa sababu bei iko chini sana
Mhh Ram 16 gb [emoji6] aangalie sanaumempata online? namba yake ya whatsapp ni ya kenya? yupo mkoa ambao sio dar hasa hasa mikoa ya kusini?
kuna tapeli mmoja ndio kazi yake hio kuwa makini. ni almost imposible kupata macbook nzuri kwa bei hio.
Ahsante. Kuna mtu anauza Mac Book Air Tzs 550,000 n anasema ina GB 16 RAM .sasa nakuwa na wasi wasi kwa sababu bei iko chini sana
hakuna macbook air yenye RAM 1.6 pia hata Ram zake kubadili ningumuMAY BE NI 1.6 GB RAM not 16