Bwai
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 721
- 486
Daaaaah darasa la nne nilipangwa dawati moja na binti nimpendaye suzana, kwenye mitihani nikawa nampiga tuff sana, nikaja kustukiwa na mwalimu moja kwasababu alinishinda marks 4, mwalimu massawe akaniambia wewe umeshindwa na mwenzako kwa sababu wewe unamsaidia lakini kuna hili swali moja wewe hulijui na yeye analijua na wala hukumuuliza.
Na huo ndio ukweli, Mimi sijawahi kumwomba yeye kunisaidia kwenye masomo.
Suzana popote ulipo arusha nakupa hi chalii yangu, wish tuonane tena siku moja.
Na huo ndio ukweli, Mimi sijawahi kumwomba yeye kunisaidia kwenye masomo.
Suzana popote ulipo arusha nakupa hi chalii yangu, wish tuonane tena siku moja.