Hivi kumuita mpenzi wako DEMU imekaaje?

Hivi kumuita mpenzi wako DEMU imekaaje?

Habari za siku nzima wakuu.. natumaini Uzima upo.

Leo nimeamua nije na hili swala.. ambalo mimi binafsi huwa linanishinda wakati mwengine.. Swala lenyewe ni kumuita mpenzi wangu Demu hasahasa nikiwa kwenye company ya wasichana..
Sijui huwa naonaje, akili yangu inalichukulia hili neno kama la kuwadowngrade kiasi fulani.. Ila nikiwa na company ya masela huwa sisiti wala nini..
Kwa nyinyi wenzangu imekaaje hii??

Karibuni.


Sent using Jamii Forums mobile app
....
1fb6fb4d58e9d0d72eb5272a2dc640de.jpg


Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Kama sikoseni neno "dem" lina maana bwawa, ambalo kila mmoja anaweza kulitumia. hivyo kwa mwanamke nazani linamlenga yule ambaye anapigwa na wanaume wengi

Binafsi hata siku moja situmii hilo jina kwa ninaempenda

Sent using Jamii Forums mobile app
Bwawa kume ni 'dem'?

Dah mshamba mimi nilikuwa najua ni 'dam' tokea nasoma shule ya msingi pale Angelico Lipan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ufupi kumuita "Demu" mwanamke wa aina yoyote ni kumkosea heshima.
 
Back
Top Bottom