Hivi kumbe wanaume nao huwa wanalia?????

KWA USEMI WAKO MBU NI KWELI HUYU MWANAUME ANA LAKE JAMBO......kwa kuzingatia maneno yaliyopigiwa mstari
 
....reading between the lines, LOL! ...huyo jamaa ni mjanja sana aisee, duuuh!!! ha ha ha!

images

...kufa kufaana!

Afu we Mbu wewe sitaki uchokozi wako tafadhali sana
 
nipo mpenzi mzima wewe hizo radio mbao yawezekana za kweli haiwezekani mbaba kabisa alie mwe nenda kamuone mwaya anatia huruma sana baba wa watu (ila umeniuzi kwenye mafataki kule lol mi roho yaniuma nikiwaza mtu anifatakie mwanangu)

Po nimemwona jana mwanamke kaenda baa kasema mtoto mgonjwa apewe pesa kapewa kaenda zake saloon Jamaa kumya yule kaunta wake anamuuliza pesa yangu ilo jamaa katoa mfukoni kalipa kimyaaa dawa hizo si bure. (Kwenye mafataki unaleta mambo jandoni hadharani? Bwana situongee chemba tu)
 
Shosti hujambo??? Upo? Mie mzima. Radio mbao zinasema karogwa kwa imani zao jamaa haongei dear yaani huruma saa hizi kanipigia anasema nikitoka ofisi nikamuone. Nitakwenda
Afu we Mbu wewe sitaki uchokozi wako tafadhali sana

...:pray2:...'amm sho sholi jamani'

UPDATES please...!
enhe,
jana baada ya kwenda ilikuwaje tena, bado analia lia?

"The best way to hide something from Black people is to put it in a book." Black people don't read!!!!!!!

Nice Quote :thumb:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom