Habari zenu wana JF
Jana nimeshuhudia kihoja nyumbani kwangu kaja Jamaa mmoja (aliyenipokea huku niliko), kaanza kunililia ndani mwangu nikabaki nashangaa kulikoni? Katulia kidogo kaanza kunieleza habari za nyumbani kwake.
Ameoa 10yrs ago na mkewe walikuwa wakipendana sana lakin tabia ya mkewe imebadilika baada ya yeye kufungua baa, kila mkewe akienda baa mteja atakayemtongoza anaondoka nae na huyo mteja akishashitukiwa harudi tena, Sasa issue ni kwamba mother house kahamisha vitu vyote ndani halafu kasema hajui vilipokwenda na amebadilika ile mbaya si kama zamani kawa na jeuri ile mbaya, sasa jamaa anamuuliza mke wangu vitu vya ndani viko wapi amejibiwa kuwa mie sina mume, mume wangu ameshakufa toka juzi na sasa hivi ni mwanaume anayekuja kunichukua next weekend anasema anajibu kwa jeuri ile mbaya. Jamaa ameshindwa afanyaje sasa mke vitu kachukua ndani , jamaa anashinda analia tu hata kazini kaomba ruhusa ya ugonjwa. Jamani afanyeje katika hili mie limenichanganya sana nikasema kumbe kuna wanaume wengine wapole hivi na wanaweza kuonewa na wanawake nimeshangaa mpaka sasa. Nisaidieni

Mwambie anitafute kwa njia yeyote atakayoweza nimpe "mbinu za kijeshi" hatokaa akamlilia mwanamke katu.
mwanaume kulia kitu cha kawida sana kwani si binadam pia jamani????we tena mwanamme alia vibaya mpaka apiga magoti utasema kaambiwa nakua leo...hahahhhaaa but makes me sad too
Dada Nilham, Unapenda sana Pink ehee?
Hivi hiyo picha ndio wewe halisi au ?
ni hayo tu
Sitaki uchokozi mie tafadhali alilie nini na wakati tunapendana sie hatuna cha kulia saa hizi mapenzi mapya wewe wivu tu utakuua
pink stands 4 girls,,,and i' muslim haki lillahi i'm nilham as nilham,,and as i wrote this 4 u allah is with me...haturuhusiwi kuonyesha nywele ama kichwa wazii..ndio mana nikatumia pictr hii,,na si hapa tuu nimebandika ni kote niwasilianapo na binadam wenzangu..uongo dhambi jamani..hata kam nina macho makubwa laikini ni mimi ya nini nijificheee???hapo twatoka burj khalifa siku ya eid l hajj juzi..